Boom ni TZS10,000 kwa siku, na siyo TZS8,000

Kuna HR mmoja alisema yeye huwa haandiki kazi vijana walosoma kwa mkopo, huwa wengi ni chawa na zero brain

Kumbe sababu ndo hizi
 
Utu na kazi tunasonga mbele
 
Tuko na Mama Hadi 2030
 
Sawa
 
Sisi TUNATIKI
 
Hii ni nzuri sana
 
Tunatiki
 
Jaribu kuangalia thamani ama bei za bidhaa mbalimbali mwaka huo 2015 kwa mwaka huu 2025.
Kuanzia gharama za usafiri, mafuta, vyakula nakadhalika.
 
Tunajua kila kitu
 
Kijana wa ovyo sana. Ujui hali ya maisha imepanda ndo maana na pesa ya boom imeongezeka. Badala uwaze kwann hela imeongezeka??? Nini kimefanya imeongezeka wewe unafurahia tu
 
Furaini subiri mpate kazi mzitapike hizo
 
Sawa tupunguze uchawa
 
Kutetea ujinga lazima uwe na akili kisoda, sh 7500 ya mwaka 2015 haiwezi kuwa sawa na 10,000 ya mwaka 2025, wakati unaandika na kutetea huu ujinga ulitakiwa kuja na hoja kamili,2015 nauli kutoka mwanza kwenda Dar es salaam ilikuwa sh 35,000 wakati kwa mwaka 2025 ni 65,000.

Hivyo ili kuleta uhalisia angalau boom lilipaswa kuwa 25,000-35,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…