Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Kama wewe ni chawa utatafuta mwenye nacho. Mapenzi ya kweli hayana macho. Kwa wachaga na wapare lazima mpesa hata kama mwenye nayo mbwa
 
Kwa haya madini uliyotoa asipokuelewa atakuwa na kichwa kigumu.
 
Kipindi unawaza hivyo, ukiacha papuchi, ni value gani unaenda kuadd kwenye hiyo ndoa/mahusiano?
Hawa ndio wale wanakomaa uko eti Wanaume wanapenda Sex. Ukifatilia utakuta ndio kitu pekee wanatoa kwa mwanaume sasa kwanini tusipende? Ubaya anataka aingie na akili hiyo hiyo kwa ndoa.

Siku mume mambo yakibadilika inakuwa tabu hana akili za kutafuta.
 
Kuna aliyekuwa na msimamo wako, alipogonga 40, akasema anataka mwanaume yeyote ili mradi asiwe mume wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…