Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Ingia inbox yakoYapi???
Sema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia inbox yakoYapi???
Sema
MtuUchira ipo Moshi wewe ni sehemu au mtu
KabisaUmenena vyema mleta post.
Ndoa na umasikini ni mateso matupu.
Duniani mwanamke anayeweza vumilia njaa hayupo...
Tafuta pesa kwanza,,
Ndoa baadae.
"NA ZIKIZIDI WANAKUUA"[emoji118] Kaka hapo pa kuua ni serious? Mara nyingi si ni mke ndo anayeuaga na siyo mchepuko?Sahii kabisa,
Ukiwa nazo wanakuja,
Ukifilia wanakukimbia,
Na Zikizidi wanakuua[emoji848]
Vp Mr Bwegez? Hivi kwann yule mwanachuo alikuchinja kikatili namna hiyo?Umenena vyema mleta post.
Ndoa na umasikini ni mateso matupu.
Duniani mwanamke anayeweza vumilia njaa hayupo...
Tafuta pesa kwanza,,
Ndoa baadae.
Nafikiri uzi ulitakiwa kufungwa baada ya hii comment.Washauri pia kwamba hao matajiri kama hujui alipoupatia utajiri wake usithubutu kwenda. Everything has a price. Kuna watu wamepewa masharti kwamba kila mke anaeoa akimaliza mwaka atolewe kama kafara. So ana kazi ya kuoa mikoa na vijiji tofauti. Wengine wanaambiwa oeni mnavyoweza ila siku mkizaa mtoto mjue mtakufa. Matajiri wengine mali zao ni kafara ya damu mwanzo mwisho.
Na ukimkuta hana mda wa hivyo vyote vya makafara au pesa zake ni za ku hustle basi jua kwenye mapenzi hana muda. Yeye anatafuta. Anashinda angani kwenye ndege kuliko anavyoshinda na mkewe. So waambie tu wadada wakiwa wanatafuta hao wazee wenye pesa wawe wameshajua priorities zao kwamba ni shopping na sio mapenzi.
Wengine ukiwakuta jua kuna mwanamke alipambana hapo so usiwe chanzo cha kumuondoa huyo aliepambana na mumewe. Wengine mnawakuta wana watoto. Hao watoto hawato wakubali kama mama na watakutukana kwasababu watajua umefuata mali
Of which is true. Kama unapenda wazee mbona umewaacha kijijini kwenu[emoji1]
Ukipata bahati ya kupata pazuri ni 1/1000. Goodluck love hunters
NB: Dada, kama una mwanaume wako anabangaiza shikilia hapo. Upendo wa kweli haupo kwenye pesa. Siku zikiondoka sijui utakua mgeni wa nani uko na kibabu chako kinaumwa hoi na huna mapenzi nae. Wavumilieni kina jonsoni siku watainuka tu. Ila msikae hadi in your late 40’s eti unawinda mbaba mwenye hela unaweza kuzeeka na malengo hewa. Take it as it is. Goodluck once again.
Tukiachana na lips zangu, toa nawe mtazamo wako kulingana na mada hapo juu.Mwanaume ana avatar ya lips??
Ndo hivyo mzee baba wanaume kazi tunayoSahii kabisa,
Ukiwa nazo wanakuja,
Ukifilia wanakukimbia,
Na Zikizidi wanakuua[emoji848]
Sasa mbona wazazi wako nao ni . Maskn na hawajatafuta pesa. Na unataka uolewe na aliyezitafuta tayari. Ulishaga muuliza babako kwanini na yeye ni maskni?Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
UPDATES;
Nimesoma comments zenu zote. Lakini nasema hivi "Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!"
Baba zenu wanazo?Subiri wanaume maskini waje wakupopoe ukome.
Pesa sio kila kitu ila muhakikishe zipo za hapa na pale.
WanazoBaba zenu wanazo?
Mpaka walalahoi wanasomesha watoto wao. So bado hiyo siyo hoja..Wanazo
Ndio maana tulisomeshwa tukamaliza