Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Mimi ni ME, Ila hatupaswi kumtukana huyu mleta mada kwa sababu kasema mawazo yake na napenda tuyaheshimu , alitaka Mzee mwenye pesa sawa duniani tumepewa Uhuru wa kuchagua , kama haitaki siye vijana tusio na kitu sawa, Mungu humpa kila mja mtu wake hata yeye atampata wa kwake masikini au tajiri hatujui Ila tukumbuke Mungu ni mkubwa kuliko mawazo yetu. Wacha HATMA iyamue ,wakubwa watanielewa.

Me gani unaeka avatar ya lips,haya za nini sasa??vijana wa huko daslamu bwana![emoji23]
 
Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!
Umempata huyo bwana mwenye hela au unambwata tu hapa
 
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.

Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.

Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.

Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?

Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.

Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.

Usikubali kuolewa na maskini.

UPDATES;
Nimesoma comments zenu zote. Lakini nasema hivi "Mm sitaki kuteseka duniani na ahela. Yaani niiishi kwa shida kisa eti nampenda kidudu-mtu asiye na hela. Naanzaje kwanza? Ujana wako wa kimaskini peleka kuchanganya zege huko!!"
Kwa mawazo yako haya nahisi kabisa utateseka sana kuliko huyo maskini uliye mtaja hapa ,,,inaonyesha ni jinsi gani unauvivu kichwani mwako....
 
Me gani unaeka avatar ya lips,haya za nini sasa??vijana wa huko daslamu bwana![emoji23]
Ubinadamu kweli kazi, Baadaya kusoma nilicho andika we umetazama avatar yangu, vinahusiana vipi na uwanamme wangu, na wapi au Sheria gani ilinikataza kuweka lips kisa Mimi ni ME , Ila umenifikirisha kwenye ubidamu wetu na namna tuvyotazama mambo yetu ,ilibidi ungalie nilichoandika Ila umeona avatar, sawa lakini ndo ubinadamu na maamuzi yake!! Nini aone! , asante ndugu yangu. 🙏
 
Mwanaume ana avatar ya lips??
 
Back
Top Bottom