Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Mimi ni ME, Ila hatupaswi kumtukana huyu mleta mada kwa sababu kasema mawazo yake na napenda tuyaheshimu , alitaka Mzee mwenye pesa sawa duniani tumepewa Uhuru wa kuchagua , kama haitaki siye vijana tusio na kitu sawa, Mungu humpa kila mja mtu wake hata yeye atampata wa kwake masikini au tajiri hatujui Ila tukumbuke Mungu ni mkubwa kuliko mawazo yetu. Wacha HATMA iyamue ,wakubwa watanielewa.
Me gani unaeka avatar ya lips,haya za nini sasa??vijana wa huko daslamu bwana![emoji23]