Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio


Malaya huamini katika uke wake tu hana kingine anaweza kutegemea.

Sasa ndo imekuwa ni sehemu ya kutafutia maisha? Yaani utoke kwenu umepigika ukapate unafuu kwenye ndoa?

Ndio maana mnaliwa tigo nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama wanawake wenyewe wana mawazo kama haya,waacheni vijana waseme "kataa ndoa ".

Siku hizi wengi wenu mmekuwa kama "kikosi cha mizinga ".
 
Ivi kuoa mwisho miaka mingapi[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Mtu anaeongea haya baba yake na uzee wote hajatoboa maisha anataka aolewe na kijana wa 28 akiwa ana mafanikio akili za kuwazia tundu la buza.
Mtuheshimu watu wa buza tuna hekima kuliko mnavyodhania
 
Unaweza kumpata mwenye hizo pesa na zikawa chungu kuliko shubiri.

Bora umpate anayekupenda.

Anayekupenda atakuvumilia, hata hesabu mabaya yako, atakuamini na haya ni muhimu sana.

Kumtegemea mtu mwingine kiuchumi hata kama ni mume wako ni jambo baya mno.
 
Hao wazee mpaka umri huo wanakusubiri wewe tu!!!???
Wazee wenye pesa wote wana familia zao, wana wake zao waliosaidiana nao kutafuta hizo mali.
 
No free lunch siku hizi hata usijidanganye
 
Yale Yale ya J Mengi! Yatakutokea puani mama utajuta. Penda hela tutaona utaishia wapi
K Lyn yamemtokea yapi!!!?? Nnachofahamu ni ule wosia aliodai ni wa marehemu ndo umekataliwa ila urithi wa wanae upo pale pale kwa kuzingatia mgao sawa kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…