Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi

huyu wamemfanyia makusudi kwa sababu anajulikana sana sisi ambayo siyo maarufu hatuna shida .
 
hili tukio limetengenezwa kumchafua huyu jamaa kwani hii gesti aliyofumaniwa huyu jamaa nipo nayo karibu sana .lakini wakati wa tukio sikuwepo ni hujuma hizo.
 
Chuo nilichosoma Wanachuo walikua wanafunga ndoa, wanajifungua, wana mahusiano na wahadhiri...
SIKUJUA KUMBE NI MSALA.

labda hukunielewa kuolewa ni sawa lakini ukikamatwa naye mfano umefuniwa naye gesti ni msala tuache utani .
 
Last edited by a moderator:
Haya ndugu nakutakia kila la heri kwenye project yako ya kuwala wake za watu ila ukiliwa tafadhali sana usisite kuja kutujulisha.

poa mkuu mwanaume kumbuka huwa haliwi.
 
Kama hauna umaarufu shida ipo kwa kuwekewa tego, maana siku hizi ni hafatiliwi mtu ila mlango utaukuta wazi, ukiingia tu utaijua kwa mashaidi.
huyu wamemfanyia makusudi kwa sababu anajulikana sana sisi ambayo siyo maarufu hatuna shida .
 
Jamaa yangu huwa nakufuatilia baadhi ya topic unazochangia, nimegungua unapenda tag sana, maana post picture ya mtu mwingine wewe unaidaka juu kwa juu na ku_tag as umepost wewe.
mkuu Emma jamaa kakuwekea hii
 
Last edited by a moderator:
Jamaa yangu huwa nakufuatilia baadhi ya topic unazochangia, nimegungua unapenda tag sana, maana post picture ya mtu mwingine wewe unaidaka juu kwa juu na ku_tag as umepost wewe.

wakati mwingine ni katika kuzikuza tu kiongozi si kwa kupora...na huwa na acknowledge pia...sorry lakini kama nimekukwaza!
 
Kama hauna umaarufu shida ipo kwa kuwekewa tego, maana siku hizi ni hafatiliwi mtu ila mlango utaukuta wazi, ukiingia tu utaijua kwa mashaidi.

Duh basi itakuwa ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…