Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
flora msoffe hapa umeua bendi...
Elimu na umri wangu hakuhusu kabisa kwani naweza kuwa baba yako .
Yes unaweza kua babaangu ila uelewa wako unaweza kufanana na mwanangu.
Eti Mwanachuo hata akiwa na miaka 25 ni kosa.
Nikawa najiuliza kama umefika miaka 25 kiasi cha kuwa na agemates walio chuoni unaowafahamu?
Nimegundua hujafika elimu ya juu inayozidi sekondari vinginevyo usingekomalia kubishana kwa sababu ungekua unajua hali halisi.
asante sana mkuu umeongea ukweli kabisa flora msoffeJ
Is true hiv I pale Dodoma wakat wabunge wapo kwenye vikao ushawah skia habari za wanafunzi uchaf wanaoufanya unaona jinsi wanafun zi huku mitaan mauchafu wanayofanya yaan kabint kana dereva wa boda na wa daladala, mwalimu mkaanga chips,kina mume wa mtu, na mwanafun mwenzie pambav na yote hii ni kutaka kurahisisha mambo na tatz LA wanaume mnawachukulia kama watoto mnagonga kavu matokeo mnaungwa kwenye gridi ya taifa bilaa kufikiria wala kujijua
Enyi wanaume msiwatafune wanafunz peku mkiwachukulia kama ni hatar kwa afya zenu...
Bora hawa was kimboka akili zenu Zinakuwa na tahadhari...mnaanza kutanguliza woga
Oooh... samahani mwenye 'mpeo' mkubwa.niliyemuuliza alinielewa wewe mwenye mpeo mdogo kama wewe huwezi kuelewa nilikuwa namaanisha nini .
kufunuliwa marinda ndo nini .
Aha ha ha nimekuja fasta mkuuu, yani ni hatareeee we sijui una nyota ya wapi wewe, tena!