Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,152
wakati mwingine siyo kila kitu unajifanya unajua .
Umeona eeh... kama kusema mwanafunzi wa chuo ni msala.
Ndio maana nimeona ninyamaze nikuache unaejua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati mwingine siyo kila kitu unajifanya unajua .
Unaruka mkojo unataka kukanyaga maviNimejifunza mambo mengi sana baada ya kunusurika kwenda jela kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mwanafunzi ambaye yupo chuo, japokuwa wanafunzi wengi wa chuo wanajitambua lakini siyo wote.
Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi.Wapo wataoona ni utani lakini ni ukweli ambao umetokea mwanafunzi ni sumu kali bora mke wa mtu.