Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi

twalimmenye na lori,twalimmenye na loli..tukwenda tosa tukulila...
nakumbuka hiyo nyimbo nilikuwa naimba kwa masikitiko sana baada ya rafiki angu kuuliwa kwa kutembea na mke wa mtu...mke wa mtu usijaribu mkuu..bora jela utaenda utarudi..ila ukienda futi sita ardhini hurudi
 
Ukifumaniwa na mwanafunzi c ishu sana linaisha fasta ukiwa n ela
 

Unaongea nn kamanda!??

hakuna afadhali... mke wa mtu we piga, tena kunawengne hujilengesha... wale ndo unatawanya kabisa..

afu sijui hao wa chuo sijui.. hao ndo wenyewe sasa, damu za moto, cheap hadi unashangaa.. afu wana shobo sana... we Piga Tu (PT) ila kumbuka kinga baharia.
 

Kweli kabisa mkuu, mke wa mtu sumu Kali sana, ila watam sanaaa! Kula mke wa mtu ni kama simba kula binadamu, yaani ni kunogewa kwa kwenda mbele
 
mkuu mwanafunzi ni hatari zaidi ya sumu ya mamba hukumu yake sero miaka 30 mke wa mtu mnaweza kumalizana kimya kimya.
 
Pole sana kwa kupoteza ndugu yako bora kufa kuliko kukaa sero miaka 30 ukitoka huko unaanza maisha upya jamii itakuonaje bora kufa .
 

Yaani demu akishakuniambia mwanafunzi wa chuo tu , ata uso sigeuzi tena. Wanafunz hawafai kabisa ao.
 
Labda nkuambia kitu kimoja kama ntakuwa nakosea utanisahisha ukimatwa na mwanafunzi yeyote au chuo au secondary au primary .umri hata akiwa miaka 25 bado utakuwa na hatia

Nami nikusahihishe na ww... Mwanafunzi anayetajwa kubakwa .ni wa primary...secondari nasi..

Ukifika chuo ni mtu mzima.sasa
 
Nami nikusahihishe na ww... Mwanafunzi anayetajwa kubakwa .ni wa primary...secondari nasi..

Ukifika chuo ni mtu mzima.sasa
kwa hiyo ukikamatwa na mwanafunzi wa chuo utakuwa salama?
 
unajidanganya kaa mbali na mke wa mtu, uchungu wa kugegedewa mke ni sawa na mwanaume kushikwa kalio. Siku utakayofumaniwa utajutia maisha yako yote. We endelea na wanafunzi wako tu ukipelekwa mahakamani labda utahonga uachiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…