Ndio maana nikakuambia Mke wa mtu ujue sio vizuri.Nikiwa najua ni mke wa mtu sitamsogelea ila akijipendekeza namgonga.
Ndicho anachokitafuta.....
wake za watu wanaojipendekeza mbona wapo wengi sana mkuuNdio maana nikakuambia Mke wa mtu ujue sio vizuri.
Wewe ushafahamu ni Mke wa mtu sasa wa nini!
Mademu wote waliojaa mke wa mtu wa nini sasa.
Ukiona anajipendekeza basi huyo hawezi kuwa Mke wa mtu hata siku moja, atakuwa amejiegesha tu kwa huyo jamaa kwa maslahi yake binafsi