Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

😂🤣😅😆😁😄😄😃😀Muafa Ni Upi
 
Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala
Kwani wenyeji halisi wa Mbeya ndiyo wamechangamsha na kujenga mji? Si walishakimbilia porini wote!!
 
Mbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!

Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!

Jiji la Mbeya lina zaidi ya miaka 30???
 
Yes nakuunga mkono 100%,Dodoma wanaiforce tu kuijenga, bila Serikali kuijenga,ingepitwa hata na Katavi, Mbeya ilitengwa kwenye miradi mbalimbali na imejengwa na wana mbeya, ni vile watu wa Mbeya ni wachakarikaji sana si wanaume si wanawake,nenda south,nenda msumbiji nenda Malawi,nenda Botswana,zambia utawakuta wanapambana Sana tu,Mbeya ya Sasa ipo 🔥sana tofauti na miaka ile ambapo miji mingi ilikuwa ya kawaida
 
Mbeya inazidiwa Hadi na iringa kimaendeleo ndo mje mlinganishe na Dodoma kweli??

Yaan mbeya ni Jiji la ovyo Sana kwanza miundombinu yake ya ajabu Sana akija kiongozi yoyote wa serikali jam itakayotengenezwa barabarani sio ya kawaida

Mbeya mzunguko wa pesa hakuna unakuta mtu anakaa mjini ila anamashamba huko milimani ko chakula analima huko milimani , anavuna analeta ndani hakuna kununua chakula na uyo anakaa mjini

Mbeya ni Jiji la ovyo saana sijawai kuona.
 
Mbeya ni pa hovyo sijapata kuona, mji umejaa bajaj zaidi hata ya watu, ukienda mjini kule pako hovyo hapafai. Walikurupuka kupapatia hadhi ya jiji..
 

nakuunga mkono mbeya ni kamji kaajabu sana bora Iringa pamekaa poa.. Dodoma imetulia bana huezi ilinganisha na Mbeya jiji limejaa bajaj tu
 
Dodoma na Mbeya yote ni majiji ya hovyo,
Nchi hii yalitakiwa majiji yawe matatu tu Dar, Mwanza na Arusha

Mbeya mji umejaa nyumba za tope na hazina mpangilio, yaan ukiwa unatokea Songwe airport kuja mjini utashangaa unaingia jijini kweli au.
 
Dodoma na Mbeya yote ni majiji ya ovyo hakuna wa kumcheka mwenzake.
 
Dodoma na Mbeya yote ni majiji ya hovyo,
Nchi hii yalitakiwa majiji yawe matatu tu Dar, Mwanza na Arusha

Mbeya mji umejaa nyumba za tope na hazina mpangilio, yaan ukiwa unatokea Songwe airport kuja mjini utashangaa unaingia jijini kweli au.
Si bora hata Dodoma walau mji wameujenga kwa mpangilio hata wa barabara tu.
Mbeya sasa dah nimeishi kiukweli ni mtihani sana.
 
Mbeya hii hii kwamba now ni yamoto unasema?
Kabisaa uko serious?
 
Mbeya ndio jiji la hovyo Africa nzima.. Labda wanachoongoza ni manabii na mitume na kila baada ya huduma ya maombi na kufunguliwa.
Mbeya Kuna makanisa mengi Sana, na hayana ufungamani na madhehebu yoyote. Kila mtu anaanzisha kanisa lake na taratibu zake.
Kuna kanisa ambalo kiongozi haruhusiwi kuwa na mke mmoja na hakuna limit!
Hata waislam wanaoruhusuwa kuoa Hadi wanne ila viongozi wao hawalazimishwi kuwa na zaidi ya mke mmoja.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa uelewa wako mpana... Dodoma inajengwa na serikali wenyeji wagogo hawakotayari kujenga mkoa wao

Sio wafanya biashara wala wasomi wa kuendeleza mji...

Stand ya magufuli ndio alikurupuka sanaa kujenga mjengo wote ule na hakuna abilia kivile kwasababu wengi wao DODOMA wanapita tuu..

Dodoma hamna kitu

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Umeishi Mbeya na kufanya biashara.... Hivi utafananisha Mbeya na dodoma ki biashara kweli!?

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Omba msaada wa haraka wa kisaikolojia. Inaonyesha kabisa unachuki na wakazi wa hapo. Btw hukulazimishwa kwenda huko wala kufungwa miguu usiondoke.
 
Miji hujengwa papaa,hulka ya wagogo na upore wao sio kikwazo,
Dubai ni jangwa,lakini ni bonge la mji,
Hakuna tofauti kati ya tanga na Dar,mtwara,zote Zina fukwe kwenye bahari ya Hindi,lakini mbona Dar imeendelea zaidi?
Hata Arusha hakuna bahari lakini pameendelea,
Kama wenyeji wa sehemu ni kikwzao Cha maendeleo,mbona Dar ni ya wazaramo lakini imeendelea?usikurupuke,miji inaendelea kwa vigezo vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…