Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Na baridi la Mbeya utegemee swimming pool kweli haha

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Mbeya ipewe uhuru maana hii ni zaidi ya nchi! Imetengwa na serikali kwa zaidi ya miaka 20 lakini bado huwezi kuiweka meza moja na mikoa mingi tu inayopewa mbeleko.
Ni kweli mkuu serikali ikitupa upendeleo ata kwa 20% Mbeya tutakua mbali sanaa

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana hata mmaza shughuli zake nyingi na maamuzi yake anayatoleaga akiwaDar na sio Dodoma. Ila Mkuu umejaribu kwenda pale chako ni chako au Toroka uje panapopatikana "mdudu" ?
Eh nimefika mkuu nimechata na mbususu.. chako ni chako hakuna ata sehemu ya live band

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
mbeya ni mji wa hovyo sana huwez gundua mwanamke yupi mwanaume yupi wote wanafanana wanawake wamekomaa kama onyango
We jamaa muongo sanaa njoo uowe wanyakyusa wa Mbeya ujipatie mbusus mujarabu

Wachapa kazi hawana muda wa kusubiri kuletewa

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Umefika mara ya mwisho lini Mbeya... Njoo new Mbeya pazuri... Ujionee.. uzuri wake kama ulifika mwaka jana kurudi nyuma usicoment hapa

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app

Mwaka huu Jan 1st, 2022 imenikutia Mbeya Pazuri pale Sae. Palijaa hatari na hakukuwa na kiingilio wala nini nakumbuka nilikua na discuss na manager mmoja pale kwamba siku kama ile wenzake ndo wanaweka kiingilio kikubwa to filter people. So napajua Mbeya pazuri vizuri tu unless kama kuna changes mpya zimefanyika btn then and now.

Ni club ya kawaida sana ila kwa Mbeya inaonekana tishio. I understand that.
 

Mkuu I agree na unayosema ila the point I'm trying to make is Mbeya kuna lack of services.

Kuwa na milima sio excuse ya kukosa gyms. Kuwa na masoko sio excuse ya kukosa supermarket angalau moja. Sio wote wanapendelea masoko na milima.

Vp movie theaters? Viwanja vya michezo? Apartments? Garages za maana na huduma zingine.

The point is ili mji uwe jiji kweli lazima kuwe na huduma tofauti tofauti za viwango kitu ambacho Mby comes short.

Naipenda Mbeya ila huo ndo ukweli. Watu wangu wa Mbeya wana monolithic thinking wote wana mawazo sawa.
 
Mbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!

Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Hivi ni kwann kila nabii anatokea Mbeya
 
Wewe mbona huna sababu za msingi,ulikuja na ororha ya kijinga ya sijui hakuna hiki na kile nikakujibu kwa mifano kwamba hizo ulizosema hakuna zipo..

Sasa unakomaa tuu lack of services,services zipi mbona huzitaji?

Utakuwa mjinga mkubwa,nimekutajia garage nzuri zilipo huelewi..

Umekuja na sijui apartments,hivi Mbeya ni ya kukosa apartments? Mbona ziko nyingi Sana za watu binafsi?

Kuna siku ntakuja na picha na maeneo specific..By the way apartments ndio maendeleo ya Jiji au? Watu wanaishi wapi kumbe?

Mbeya unayoitaja ina taasisi nyingi sana za Elimu pengine nyuma ya Dar,kwa hiyo Hawa wote hawajaona cha maana ila wewe?

Hadi ADEM wapo 👇



 
Mbona utengule na JM zipo?

Vp movie theatre?

Viwanja vya michezo je?

Gyms?

Etc etc ...
JM ni kiherehere tu. Zamani swimming pools zilikuwepo Utengule na Songwe Resort. Kule ni bondeni, kuna joto. Kwenye movie theatre ni tatizo kama mji kutokuwa nayo. Viwanja ni kama miji mingine. Timu ya basketball ya Mbeya huwa inafanya vizuri sana kwenye mashindano ya majiji. Kuna viwanja viwili vitatu. Japo Sokoine ni kichekesho. Uwanja wa majimaji ni mzuri sana ukilinganisha na sokoine, ni kama shamba hivi😀

Supermarket ni soko kama masoko mengine. Si lazima kuwa nayo, tena hayafai sababu yanatajirisha tu kampuni moja. Wamarekani leo wanachukia hayo Mamall yanayochukua eneo kubwa na parking kubwa. Kila bidhaa lazima uendeshe gari kwenda kununua. Nitafurahi mji kama Mbeya usipoingia kwenye kuiga kujenga mamall.

Uwepo wa magym ni ishara ya collapse of civilisation😀😀

Kuna mambo ya kufanyia kazi, lakini ni mji wa aina yake, huduma muhimu za kijamii kama maji, umeme na hospitali vipo vinatosha. Mabenki yapo ya kutosha. Toka Uyole hadi Mbalizi kuna matawi mangapi ya NMB? Majiji mengi hayafiki hiyo idadi.

Ni watu walioamua kufanya mambo kutokana na mji wao ulivyo.
 
Mbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!

Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Kumbe unachukia coz unabii ??!! Huna hoja mbeya ipo juu sana kiaz wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…