Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Kwenye upande wa status ya maisha ni kweli angalau mbeya kidogo unafuu upo. Ila kwenye mpangilio wa mitaa, na makazi kiukweli bado. Nyumba za kuishi angala Kuna unafuu japo ndoivo wengi akishamaliza zungusha tofali ndo Basi, finishing na mambo mengine yanasahaulika.
Taja wapi wamepangilia vizuri acha blaa blaa
 
So nani aliyekwambia kwamba hivyo ulivyotaja ndo vigezo vilivyozingatiwa na vilivyotumika kuchagua Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania? [emoji706]

Sawa, badilisha [emoji2960]
 
Mbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!

Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Huo ndio uongo sasa manabii wamama si wapo usukumani Mwanza?.
 
Nimefika dodoma toka juzi
Hawachangamki
Hwaongei
Wala hawacheki

Dodoma sio mji wa kibiashara
Dodoma sio mji uliochangamka
Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi

Dodoma hamna kitu
Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6 usiku unapata seat sehemu maalumu za starehe

Bora Mbeya uje uone kulivyo changamka

Mbeya pazuri
City pub
Mwailubi

Ni raha tupu

Bora mbeya

Niwapongeze kwa nyama choma mpo vizuri ila vingine hamna kitu...

Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala mnoo

Magufuli pia alikulupuka kujenga eneo lote lile kwaajili ya stand yamebaki magofu tuu sijui ndimo alimokua napigia pesa kwa kampuni yake ya ukandarasi

Eneo la stand la ndugai ni kubwa mnoo lulingana na uhalizia jamaa alifuja pesa saana

View attachment 2215992

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Makao makuu ya serikali yanatakiwa kuwa hivyo mji ulio tulia wenye nafasi na utulivu mkubwa siyo vurugu za kibiashara
 
Kitu gani hicho ulitafuta hakipo Mbeya ikiwa Scania tuu Wana branch yao pale?

Vitu vingi sana, kuna mwaka nilitafuta a colored printer nilikosa karibu stationery zote.

For 2yrs straight kuna mtu namjua anatafuta parts za gari lake Land rover Mby hamna hadi kaagiza mikoani japo hazikufit ila Mby hata za kujaribu tu alikosa. Infact Mbeya hakuna gereji hata moja I mean hata moja ya maana zote za kuunga unga tu kuanzia kwa Lena kule Mbalizi hadi Soweto.

Ukiacha swimming pool ya pale JM na Utengule kuna swimming pool nyingine Mby?

Ukitoa ile gym ya kienyeji pale Soweto kuna gym nyingine yenye hadhi Mby?

Viwanja vya michezo je? Bball najua bonanza pale mjini toka 90s hadi pamechoka, kipo kingine? Vya mpira wa miguu je achana na Sokoine ambayo nayo imechoka mbaya. Kuna golf course hata moja Mbeya?

Vp movie theatre?

Supermarket Mby ni kale ka store pale sheli Infinity zamani oilcom 😀 supermarket sio jambo la msingi ila Mby kuna hata a decent market kweli ambayo mtu unaweza pata vitu mbalimbali bila bugudha kweli?

Mbeya mjini ni wapi kule Uhindini au Mwanjelwa maana kote kupo kupo tu.

Kuna hata 4-star hotel in Mby?

Mambo mengine yanaweza kuonekana as petty ila ndo huduma zinazofanya jiji kuwa jiji.

Mkuu mambo ni mengi sana nayoweza kuorodhesha, naijua Mby nje ndani. Pamoja na yote naipenda Mbeya nikipata nauli nitakuja 🤣
 
Utaendelea kuishi kwenye zama za Giza Hadi lini?

Miaka fulani ndio leo? Eti garage Soweto,kuna bonge la gereji ya wachina kubwa kabisa na la kisasa pale Uyole jirani na St.Aggrey..

Vi min market viko vingi sana ni ushamba wako tuu wa kutozunguka.

Hizo 4 star hotels ziko nyingi tuu mojawapo inaitwa Highlands Hotel ,

Mbeya ni kama Dar ina CBD 2 yaani Uhindini/City center na Mwanjelwa sasa sijui wewe hater unataka mjini kuweje..

Acha ushamba Mzee,Mbeya ya Leo sio ya juzi ulipokuwepo wewe.
 
By the way,tusitake miji mizuri huku wa kuitengeneza hayo majiji na sisi.Vipato vya Watanzania vinaendana na majiji yetu.

Ukienda tu hapo Nairobi ukilinganisha na Dar,unaweza ukasema Dar ni kijiji.

Mji kama Nakuru ambapo ni wa 4 kwa pale Kenya,inaizidi hata Mwanza ambapo ni Jiji letu la Pili.umaskini mbaya sana.
Tuko Nyuma Sana
 
Mbeya ipewe uhuru maana hii ni zaidi ya nchi! Imetengwa na serikali kwa zaidi ya miaka 20 lakini bado huwezi kuiweka meza moja na mikoa mingi tu inayopewa mbeleko.
 
Ndio maana hata mmaza shughuli zake nyingi na maamuzi yake anayatoleaga akiwaDar na sio Dodoma. Ila Mkuu umejaribu kwenda pale chako ni chako au Toroka uje panapopatikana "mdudu" ?
 
do! hili umenikumbusha niliingia mgahawa mmoja wa kawaida kunywa chai sukari ikawa imeisha muhudumu akang'ata kwa meno kufungua pakiti ya sukari wakati nashaa mwingine akawa anatumia tena meno kufungua pakiti ya majani ya chai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom