Bora niendelee kuwa single

Bora niendelee kuwa single

Moto unaupelekewa kwenye taasisi ya ndoa humu JF ni ziaidi ya ule wa Los Angeles. But anyways baki na usingo wengine wanatelezea humo humo.
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatare kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Endelea kuwa single ila linda hiyo back stage isije fokolewa maana utazid kuwa single maisha yako yote
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Cha ajabu Mke anamwacha mume wake kwa sababu ya michepuko ila yeye anaenda kudate na mume wa mtu tena
 
Ahahaha mi niseme ukweli nikikaa siku tatu sipo katika mahusiano au sijafanya mapenzi huwa natokwa na vipere aiseee
 
Back
Top Bottom