Lamborgini
Member
- Nov 28, 2024
- 51
- 58
Pole mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wasitutisheNyie achaneni tu buana,. Chamsingi msitupigie tu kelele
Endelea kuwa single ila linda hiyo back stage isije fokolewa maana utazid kuwa single maisha yako yoteZamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatare kwa afya yako ya akili.
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Ushapona mama.Na wasitutishe
Milio imeanza kusikikaDozi itaendelea mpaka utakuja kusema hadi Tik Tok
Cha ajabu Mke anamwacha mume wake kwa sababu ya michepuko ila yeye anaenda kudate na mume wa mtu tenaZamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Hakika tusitishaneKabsa kupanga ni kuchagua.
Yatakuwa fresh sana imagine jinsi tutakavyokuwa tunagegeduana vizuri na kwa uhuru...full burudaniNajiulizaga sana ikitokea kila mtu kwenye jamii hana ndoa, maisha yatakuwaje?