Bora niendelee kuwa single

Bora niendelee kuwa single

Nyuzi za kupongeza ndoa ni chache mno na zinatokea baada ya miaka ila za kuponda na za maumivu ndani ya ndoa kila leo zinaibuliwa.
Hawa waongo bwana mie ngoja nioe nione kama kweli hamnaga mazuri huko kwa ndoa.
Kelsea njoo nikuwowe tuwaonheshe hao kuwa ndoa ninfull burudani
 
ndoa za ki kikristo hazina uhalisia, eti for LIFE until death do us part 😵
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Mke wangu kaleta beki tatu dah nammezea mate halafu bado teketeke namlia timing wife akaondoka nitaruka nae
 
Hukua na sifa ya kuoelewa wewe kama walivyo wanawale wengi leo.
Wewe ni wale wa kupigwa na kuachwa, hukuaa akili za kuolewa.
Eehh!! Bahati nzuri hiyo inabakia ni nadharia Yako sio uhalisia, uhalisia ninao mwenyewe.
 
Wakati wewe unamuacha na kuwa single, Kuna mtu kamsubiria na anamuelewa kinyama.
Ndoa ni fumbo
Ndo mambo yalivyo siti ulokalia ukishuka Kuna mwengine atakaa, haiwezi kubaki vilevile.
 
Hawa waongo bwana mie ngoja nioe nione kama kweli hamnaga mazuri huko kwa ndoa.
Kelsea njoo nikuwowe tuwaonheshe hao kuwa ndoa ninfull burudani
Hakuna alosema ndoani hakuna mazuri lakini mabaya yakizidi mazuri hapakaliki ni sawa na biriani likizidi chumvi hata Liwe zuri vipi haliwezi kulika au chai uiweke chumvi hata iwe na viungo hainyweki... Ni wewe kuangalia mazuri ni mengi kuliko mabaya Endelea kulijenga taifa imara lenye watu imara.
 
Umenitamanisha biriani sasa
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Matembele hata kukiwa na amani hayanogi nyama inanoga popote.
 
Kuwa single raha sana hadi pale loneliness na nyege vinapoachukua nafasi kubwa.
 
Sidhani kama kuna ubaya angalia USA watu wengi hawana ndoa na wapo vizuri sana economically
Sie tunao ng'ang'ania ndoa wakati hazitutaki nikuteseka mpaka mwisho, mara vidonda vya tumbo, mara Koo linakauka sababu ya stress, halafu upande wa pili ana enjoy huko na ndugu zake hata habari hana!
 
Yatakuwa fresh sana imagine jinsi tutakavyokuwa tunagegeduana vizuri na kwa uhuru...full burudani
Upo kama mimi mkuu ila shida ni moja nikifanya mara kwa mara nakonda ila nkifanya kwa kiasi nanawiri utafikiri wakishua kumbe choka mbaya ,then confidence ya kuapproach inakuwa juu,kiasi kwamba kila manzi naona hawezi kuchomoa..
 
Sie tunao ng'ang'ania ndoa wakati hazituki nikuteseka mpaka mwisho, mara vidonda vya tumbo, mara Koo linakauka sababu ya stress, halafu upande wa pili ana enjoy huko na ndugu zake hata habari naye!
Ila kimaadili ya watoto ndoa ni taasisi muhimu
 
Upo kama mimi mkuu ila shida ni moja nikifanya mara kwa mara nakonda ila nkifanya kwa kiasi nanawiri utafikiri wakishua kumbe choka mbaya ,then confidence ya kuapproach inakuwa juu,kiasi kwamba kila manzi naona hawezi kuchomoa..
Unakondaje? Itakuwa unapiga bao 6 kwenda juu ndio maana wakonda.
Piga zako bao mbili za afya mzeya
 
Back
Top Bottom