Bora niendelee kuwa single

Bora niendelee kuwa single

Kuwa single raha sana hadi pale loneliness na nyege vinapoachukua nafasi kubwa.
Sasa nyege mbususu zoteee zilizojaa humu mtaani unashindwaje kugegeda.
Wee kuwa na hela mwanamkenutapata na utaishi nae bila ndoa na atakuzalia tuu. Muhimu uwe na mihela sio hela
 
Ah basi hiyo kawaida bora ata wee ukiingiza mie kibamia changu kinatena nikipapasa paja tuu au nipitishe kibamia juu ya khunduz
Sasa mkuu umenikumbusha kuna binti Kila Nilipokuwa namuhitaji jumapili kumgegeda akawa ananiambia anaogopa siku ya ibada kufanya malovu Dah sjui alikuwaga ananichora
 
Sii bado kuna siku 6 zingine za kugegedana mwanawane. Zitumie hizo kikamilifu
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Wewe unadhani huna jambo lililopelekea hayo yakatokea? Mlalamishi siku zote hujifanya malaika.
 
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
SmartSelect_20250201_195427_Samsung Internet.jpg
 
Sasa nyege mbususu zoteee zilizojaa humu mtaani unashindwaje kugegeda.
Wee kuwa na hela mwanamkenutapata na utaishi nae bila ndoa na atakuzalia tuu. Muhimu uwe na mihela sio hela
Mkuu huyo lifestyle yako hata siiwezi🤣🤣🤣
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Na bado utakaa single na itafika mda mwingine utaingia Tena kwenye ndoa ikikusumbua Tena unatoka hayo ndiyo maisha na hapo utakuwa umeyaweza maisha, Kaa single kwa mda akija mtu Sahihi ingia ndoani
 
Mkishachokana ,mshamleta kiumbe duniani(Mtoto) halafu mnaachana bora msizae kabisa
 
Ndoa nyingi watu wanafuata mkumbo tu..
Sio mkumbo mkuu,pale mwanzoni ndoa huwa ina raha sana,kuna kitu ambacho huwa hatuambiwi tunapoingia kwenye ndoa.Unapongia kwenye ndoa kiroho unakuwa umeingia vitani na shetani moja kwa moja,sasa ni vizuri kama mtakuwa vizuri kiroho,lakini kama mnaishi kienyeji na kufikiri kuwa mtaweza kumshinda shetani kwa kutumia akili zenu za kawaida lazima ujuwe atawayumbisha vibaya sana.Fanya research kidogo utagundua kuwa ndoa nyingi ambazo zina migogoro hakuna uwepo wa Mungu,wahusika hawaishi sawasawa na mapenzi ya Mungu....
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Kwangu mimi malezi hakuna Kwa sasa,hakuna staha,hakuna heshima mbaya zaidi wanajiona wanajua kila kitu kumbe wengine hata uji wa mgonjwa hawajui kupika.
Wanaume nao masela ndio muhimu kuliko family yako.
In nutshell sio sehemu za ibada or barabarani or majumbani,mavazi hayana maadili except uislam kule msikitinihukuti vimini but tabia zao wengine ni hovyo.
Hali ni mbaya sana kwenye jamii its worst sasa hivi mimi sichangii harusi hio hela bora nikatoe sadaka hospital
 
Mpaka sasa hamjui maana ya ndoa

Mdoa ni
Siri nyingi mnashea.
Ugomvi mwinginashea
Sahani ya msosi mnashea
Dharau mnashea
Kucheka lazima mshee
Kuchepuka lazima mshee

Mkishindwa tu kushea

Hahaha

Ni doa na si ndoa
 
Back
Top Bottom