Bora nikae kimya milele kuliko kupigania haki ya Watanzania!

Bora nikae kimya milele kuliko kupigania haki ya Watanzania!

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu yaani Mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula Raha aisee nyie wazee msijidanganye vijana tutawapigania wakati nyie mlivyokua vijana mlikua mnakula Bata aisee Kila mtu apambane na Hali yake sitaki kufichwa karakana mimi
Sasa unatafuta nini humu wewe!?
 
Hata ikitokea ya kupigania haki, unadhani kwenye kundi la wajinga kama wewe utakuwa peke yako?

Mtakuwa wengi tu, ila mtatulia tu halafu wachache watasababisha na nyinyi mambugila haki zenu zitamvulike
Kapiganie wewe haki
 
Msigwa mwenyewe kaona Kila akiwatetea hawabadiliki akajionea Cha kujifia umasikini wa nini wakati akirudi Kwa walamba asali na yeye atalamba asali kwann kupoteza muda na wajinga
 
Back
Top Bottom