Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Nani kakuita hapa au shobo tu
Uzi wako ni public unajibiwa na mtu yeyote. Kwa akili zako hujui hilo.
Sema nani alikuomba umpiganie publicly kama sio shobo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuita hapa au shobo tu
Nani kakuita hapa au shobo mbona Mimi sijakuomba jibu lako kama sio shobo?Uzi wako ni public unajibiwa na mtu yeyote. Kwa akili zako hujui hilo.
Sema nani alikuomba umpiganie publicly kama sio shobo?
Nani kakuita hapa au shobo mbona Mimi sijakuomba jibu lako kama sio shobo?
Kilichokufanya uangalie Uzi wangu ni nini kama sio shobo unawashwa nyuma nini maana mimacho Yako imeonaje Uzi wangu kama sio shobo?Usingeweka in the public domain. Hujui hilo kwa akili zako fupi. Anything in the public domain will be discussed publicly.
Onyesha ni mtanzania gani kakuomba umpiganie publicly kama sio shobo zako na kujipa umuhimu usiokuwa nao.
Kilichokufanya uangalie Uzi wangu ni nini kama sio shobo unawashwa nyuma nini maana mimacho Yako imeonaje Uzi wangu kama sio shobo?
Acha shoboYou have a comprehension disorder. Go on dummy.
Na wewe sijakuita hapaHata hivyo hatujakuomba utupiganie
Wewe ndio wa ajabuhii ni mitazamo ya ajabu kweli!
Ulichelewa sana mkuu sasa ni kudili na mambo yako binafsiKatika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu.
Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha.
Pia soma:
SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa
Aisee, nyie wazee msijidanganye vijana tutawapigania wakati nyie mlivyokua vijana mlikuwa mnakula bata.
Kila mtu apambane na hali yake, sitaki kufichwa karakana mimi!
Ungefungia mada yako chumbani kwako ujisomeeNa wewe sijakuita hapa
Wewe ungefunga mimacho Yako usioneUngefungia mada yako chumbani kwako ujisomee
Punguza shobo labda km unatafuta bwanaWewe ungefunga mimacho Yako usione
Nidvyo ilivyo lakini na mimi sina jibu. Mtu anajua kabisa hapa nitakufa lakini anajitokeza akisema liwalo na liwe.Hawapo ukiona mtu anakufa Ili mwingine Aishi vizuri ni mjinga mmoja tu yaani unakufa Ili mwenzio Aishi vizuri halafu iweje
Tafuta hela mkuuHabari za asubuhi wanajamvi.
Rostam Azizi amekuwa anajulikana kama "KING MAKERS "
Mitandao yote iliyowaangiza JK,na Lowasa mpaka alipokwenda CHADEMA nyuma yake ni Rostam Azizi.
Rostam Aziz amemuhakikishia Mama kuwa hakuna lolote mama atamaliza Muda wake mpaka 2030 kwa lengo la wao kuingiza mtu wao 2030.
Rostam anajinasibu kuwa na team ya chama tawala Iko upande wake ameratibu yeye mpaka Jasus kurudi Latin America na kuja kushika utendaji.
Tukumbuke pia Jasusi ni team Moja na Rostam,na Sophia Simba ambao walitengwa na mwendazake.
Team Lowasa ingalipo na inajivunia kushika uongozi wa chama na kuwadharau wastaafu ambao wanaonekana wana nguvu team msoga.
Ndo maana wamefanya fitna , Mosi kumuondoa Makonda uenezi,pili kuwaondoa Mapacha BUMBULI & MTAMA.
Kwa mbaali mabadiliko ya Jumba kuu Karibu na Saint Peter's Kanisani engineer ni huyo mbunge wa zamani Super Mogul ambaye Saa 💯 alikwenda naye ziara mbalimbali mintarafu ile ya kwa Poppe Fransisco Vatican.
Rais Samia, Rostam hana nguvu yoyote kumshinda Jakaya Mrisho kikwete.
Kikwete ni influencial figure kwa sasa ndani ya Chama na ndani ya Serikali.
Yeye mpaka sasa anakuwa the the remained most current outgoing president.
Mtindo wa kikwete ni WA kunyamaza kimyaaa kama hayupo, lakini kama tujuavyo kimyaa kina mshindo.
Jaribio la Mwisho la kuondoka kwa Kinana ni gumu kuliko mengine yote.
Kinana kwa sasa anakuwa mmoja ya watu ambao wanajua serikali vizuri na chama vizuri,ameshika nafasi nyeti wakati wa wa Marais wote, Nyerere, Mwinyi, Mkapa , kikwete, na wewe Mwenyewe.
Kinana sio mtu kuwa dumped kwa mtindo wa Job Yustin Ndugai.
Unahitaji zaidi mshikamano, kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu mwakani.
Rostam Azizi kwa Wakati huu hana lolote hana nguvu, ukumbuke this time (MABAKAMABAKA) na baadhi ya taasisi zinaenda kuwa neutral.
Wanasubiri wakati sahihi, ili wa sett tone sahihi.
Kama opossition watashinda ubunge na Urais itabaki kuwa hivyo no changes hakuna kubebwa mtu
Hawaridhiki na minada ya maliasili na rasilimali za Tanganyika kuuzwa kwa wajomba.
Kuwa makini na huyo Raia wa Tanzania/Iran.
ambaye watanzania hawamjui wala kumuona direct akishiriki siasa, lakini ndiye anayepiga NGOMA inayochezwa sasa nchini.
Nandagala one, kwa sasa Safarini Ukerewe.
Hahaha. Hujui ulisemalo. Kupigania haki ya mwenzako kunakuja katika njia nyingi: ndugu, mke, mtoto, rafiki, colleague au mzazi wako anaweza kufanyiwa vibaya mbele yako, utakaa kimya na kumwacha auliwe, afanyiwe kitu kibaya ambacho ungeweza kukizuia kweli kama ungepigania haki? Unasema hayo kutoka moyoni au unasema kwa vile labda mambo unayoyazungumzia ambayo mimi sijui hayakuhusu? Lakini pia ukiona haki inapokonywa mbele yako, ambapo wewe ulikuwa na uwezo wa kuzuia au kupaza sauti isipokonywe, lakini ukanyamaza, na wewe pia unakuwa umeshiriki kupokonya hiyo haki. Inaitwa dhambi ya kutotimiza wajibu wako - yaani kuachia uovu uendelee kufanyika mbele yako wakati ulikuwa na namna ya kupunguza makali yake au kuuzuia usifanyike kabisa. Upo hapo?Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu.
Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha.
Pia soma:
SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa
Aisee, nyie wazee msijidanganye vijana tutawapigania wakati nyie mlivyokua vijana mlikuwa mnakula bata.
Kila mtu apambane na hali yake, sitaki kufichwa karakana mimi!
Kama kila mchangiaji unamwambia kua hujamuita,kwahiyo ulitaka huu uzi aje achangie mumeo tu sio?Na wewe sijakuita hapa
Swali zuri sana.Kwani kuna mtu alikuomba umpambanie??