Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Unawaza km mimiKatika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu.
Yaani mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula raha.
Pia soma:
SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa
Aisee, nyie wazee msijidanganye vijana tutawapigania wakati nyie mlivyokua vijana mlikuwa mnakula bata.
Kila mtu apambane na hali yake, sitaki kufichwa karakana mimi!