Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sasa unatafuta nini humu wewe!?Katika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni kuchongoa mdomo wangu eti kupigania haki ya watanzania wenzangu yaani Mimi nimpiganie haki mwenzangu halafu nife yeye abaki anakula Raha aisee nyie wazee msijidanganye vijana tutawapigania wakati nyie mlivyokua vijana mlikua mnakula Bata aisee Kila mtu apambane na Hali yake sitaki kufichwa karakana mimi
Kapiganie wewe hakiHata ikitokea ya kupigania haki, unadhani kwenye kundi la wajinga kama wewe utakuwa peke yako?
Mtakuwa wengi tu, ila mtatulia tu halafu wachache watasababisha na nyinyi mambugila haki zenu zitamvulike
kijana yuko sahihi kabisaUmeongea ukweli mkuu, hiyo kazi alishafanya Nyerere na CCM, nchi iko huru