Bora nikae kimya milele kuliko kupigania haki ya Watanzania!

Unawaza km mimi
 
kila la kweri
 
Omba Mungu hali ya uchumi iendelee kuonyesha matumaini.
Nigeria mshara ni $ USD 19, hakuna ajira, n.k
Bangladesh tangu 1983 wanapokezana uongozi watu 2, ajira hakuna, ....
Ila Bangladesh noma🙌🙌
 
Kuna mtu amekuambia umpiganie au ni kiherere chako tuu
 
Nani kakuuliza? Nani anataka umpiganie au shobo tu?
 
Omba Mungu hali ya uchumi iendelee kuonyesha matumaini.
Nigeria mshara ni $ USD 19, hakuna ajira, n.k
Bangladesh tangu 1983 wanapokezana uongozi watu 2, ajira hakuna, ....
ishu ya ajira mkuu hata marekani ipo japo kidogo................. wasomi ni wengi kuliko mahitaji hakuna namna ...........hakuna pa kupelekwa serikali ipo oversuarated
 
Wako watu walio teyari kufa kwa ajili ya wengine katika ulimwengu huu.
Hawapo ukiona mtu anakufa Ili mwingine Aishi vizuri ni mjinga mmoja tu yaani unakufa Ili mwenzio Aishi vizuri halafu iweje
 
Kila shughuli ina watu wake mkuu. Ambao hata kama watateswa vipi hawavunjiki moyo, wanachokiangalia ni kutimiza kile walichoitiwa.
 
Labda kama ni Kula Kulala Kwa shemeji. Ila kama ni mtu ambae utakuwa na familia, unamiliki vitu huwezi kuandika Uzi WA namna hii maana inaweza kukutokea wewe mwenyewe haki zako zimepokonywa ukatamani jamii ikusaidie.
 
Bora niwe kula kulala ila sio kufanya huo ujinga
 
Kwenye haki lazima wengine waumie ili wengine waishi Kwa Raha.Ni kama tu wewe anavyohangaika ili familia Yako iwe na maisha mazuri
Yesu alikufa ili amani kati ya Mungu na binadamu iwepo sasa wewe ni nani upate haki na mafanikio burebure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…