Mkuu umenitukana tus baya sana kwanini unifanishe na wanaume wa darmkuu usipanic bana gudume nae ana vistory story kama vyako ila sijakufananisha kwa ubaya
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe nakutaka na ninakupenda asali wa moyo wangu
Wewe tena kwanza uko msafi wigi lako halinuki
Nakutaka bwana kipenz
Uogope Kipi? Hizo ndo Nguvu zao kama huna uwezo wa kuzihimili watakuuzia 'gazeti' tu mtaani.Nigope kipi hapo mkuu
Vitu kama hivyo ulivyokutananavyo mbaka unakuja kulalamika hapaYes aliwaza mbali kwani ubaya wa huu uzi ni upi
asante kwa kunikumbusha nimefurahi sanajje's nakukumbusha tu kuwa Uchafu hauna Class ni tabia. Whether uko Class ya juu ya kati au ya chini kama tabia yako ni uchafu tu utakuwa mchafu. Nawapo wa class ya chini kabisa ila ni wasafi balaa. Akianza kusugua kisigino hapo unaweza dhani nyama yote ya mguu ataiacha pale kwenye jiwe la kusugulia.
hivi ile bajaji yako bado ipo eeehSaa kumi na moja beibe
Si utakuja kulala kabisa kazin nitakupeleka mwenyewe kesho kipenz Chang
Dah!!...hapo nyanda za kati pametuna kweli[emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Nilishaingiaga na demu guest, ile kuva wigi nilipiga chafya 11 bila kupumzika mpk alipolifunika mwenyewe.
Lile wigi lilikua linatema, kanakwamba likiwekwa kushoto alaf kulia kukawa na chemba ya choo, utageuzia pua kweny chemba
penda sana wasabato,mi huwa majiendea tu kwa wasabato sitaki shida na mtu wale watu daaaaah acha tu ni kuku wa kienyeji kweliAmani iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo
Kuna vitu vingine wadada hufanya wakizan ni sifa kumbe ni ujinga wa hali ya juu sana. Wanawake wavaa mawigi wanawaabisha sana wanawake wenzao
KWANZA MAWIGI YAO YANANUKA SANA
PILI HAWAJUI MAPENZI
Hivi mwanamke anayevua nywele anaaziacha kitandani ndo anaenda kuoga unazani ana akili kweli huyo?
Sasa bana siku moja kaja msichana mmoja gheto kavaa wigi nikapita mamboz fresh sasa nikatoka kidogo nikamuletee supu apige kwa ajili ya kupunguza njaa na uchovu, sasa wakati ule narudi nakuta mtu kichwani ni KIPARANGOTO aisee nikashituka kidogo nikazani jini hili Yesu wangu niokoe, nywele kapeleka wapi huyu dada kupiga jicho kitandani nikakutana na ni lile wigi ndo nikatulia kidogo hapo akanambia nataka kwenda kuoga ndo ninywe chai, aisee nilishangaa sana kwahiyo ukitaka kwenda kuoga unaacha nywele kitandani ndo unaenda kuoga.
Hawa watu mapenzi hawajui ukimwambia KALIA MSUMURI WA MOTO yaani hawakaliagi vizuri wanakaa lakini kidogo tu jamani unaniumiza sijui mimi siwezi staili hii baby badilisha nyingine.
Yaani wao staili wanayoweza ni ile ya kususia ya mbuzi kagoma kwenda ukitaka hiyo mbona utachoka mwenyewe mkuu.
Ni hayo tu
Lakini mimi hata kama nikipopolewa mawe sitarudia tena kufanya mapenzi na watu hawa.
LONDON BABY
Haaaa et kama kapaka kiwiMimi mwanamke mwenye nywele bandia, kope bandia, nyusi bandia, ponda lakufa mtu, marangi midomoni, sikio katoga Mara 5, tatuu, kucha bandia, huwa nawaita kuku wa kichina, hawana ladha, ukimpukutisha kila kitu anabaki kama skeleton. Mbali kabisa nami.
Kingine demu mweupe au maji ya kunde lakini papuchi black kama kapaka kiwi! Hamu inaisha hapohapo.