Bora nirudi kwa wazazi wangu wanifunze upya

SEHEMU YA 6
Niliporudi nyumbani sikumkuta Mzee nilijua tu ameenda kazi ni na aliporudi nilitegemea ataniuliza chochote lakini aliamua kukaa kimya.

Siku zilisonga lakini sikuona simu wala msg kutoka kwa Boss ilinitatiza sababu nilidhani nimeshapata mpenzi mpya. Ilibidi nimuulize shoga yangu ambaye alinionganishia.

"Ndio maana kumbe unateswa na mapenzi" aliniambia
"Kwanini unasema hivyo" nikamuuliza
"Yaani mmelala siku moja tu tayari unataka umgande wakati mwenzako alikuambia ana familia, wewe usijali tafuta siku uje peke yako utapata mwingine" akaongezea

Nilikua sijaenda hapo Bar peke yangu kwa muda kidogo sababu mzee tokea ile siku hakulala nje kidogo ndani kulikua na amani.

Siku moja weekend nipo na mzee simu yangu iliita ila namba ngeni nikapata wasiwasi labda anaweza kua Boss hivyo nikatoka chumbani nikaenda kuipokea jikoni huku nazuga.
Tofauti na nilivyotegemea kumbe ni mwanamke ndiye ananipigia.

Alinitukana sana kua niachane na mpenzi wake na mimi sikukaa kinyonge nikawa namjibu, mpenzi anayemzungumzia ni Mzee wangu.

Nilianza kulia sana! Muda huo mzee alishasogea mpaka jikoni ananisikiliza akaniambia nimblock huyo mwanamke sababu ni chizi.
Nikaanza kumlalamikia kua hanipendi nikaenda chumbani kwenye vidonge vyangu nikavishika ili nivibugie vyote nife.

Nimeshika vidonge mzee akaniuliza "unataka kujiua sio"
"Bora nife naona ndivyo unavyotaka"
"Basi Sawa" akanijibu huku amekaa kitandani

Hicho kitendo cha yeye kutonibembeleza kiliniuma sana sababu sikua na nia ya kujiua kweli ila nilikua natishia na yeye haonyeshi kujali ilibidi nikae chini niangue kilio.

"Acha hivyo mpenzi wangu usilie utaumwa, nishakuambia ugonjwa ulionao hauhitaji stress utakauka siku sio zako! Nyamaza mama yangu" alianza kunibembeleza

Mimi nikazidi kulia huku napata ahueni anavyonibembeleza, kiukweli nampenda sana huyu mzee.

"Nilidhani unanipenda, tunapendana yote uliyonifanyia lakini bado nipo na wewe nimekubali kukaa huku ndani kama mfanyakazi tu ila wewe haujali" nikamwambia

Mzee akanyamaza kimya kwa muda kidogo kisha akasema "tatizo linalonifanya nisitulie na wewe ni kwasababu haunitoshelezi"

"Mbona najitahidi kufanya kila kitu lakini unasema sikutoshelezi" nikamjibu

"Kiukweli mimi sienjoy kufanya mapenzi na wewe" akasema

Kauli yake iliniuma sana, nikamuuliza "kwanini"

"Nikikuambia utakua tayari" akaniuliza
"Nipo tayari" nikamjibu, na nilikua tayari kweli kwa chochote muhimu atulie na mimi.

Mzee akachukua simu yake kisha akanipatia kama vile nione kitu, moyo wangu ulipiga paah! Ila nikajikaza kwa nilichokiona, video ya watu wakiingiliana kinyume na maumbile.

Akaniambia "ukikubali basi nitatulia na wewe, nitakupa chochote unachokitaka"

Nilikaa kimya kiunyonge lakini nilikua nimeshakubali ombi La Mzee wangu.

Tukaanza utamaduni mpya, utamaduni wa mzee kuniingilia kinyume.

Niliona mabadiliko jinsi alivyoanza kunijali upya mpaka siku moja akaniuliza "nikufanyie nini na wewe ufurahi"

TINA: Nataka unioe, ndugu zako wote wanifahamu ukianza na Emmy

BABA EMMY: Mbona ghafla sana

TINA: Miaka yote mitatu ya kukaa kwako kwa kujificha bado unasema ni ghafla? Labda kama hutaki nifurahi.

BABA EMMY: Sawa nitakutambulisha kwa Emmy

Nikachukua simu mbele ya mzee nikampigia Emmy

TINA: Mambo Emmy za masiku.

EMMY: Salama rafiki yangu, kuna mpya gani mpaka Leo umenikumbuka.

TINA: Nina maongezi naomba tuonane nikuambie

EMMY: Hamna shida! Wewe niambie ni wapi na lini nije tuonane.

TINA: Hata Leo, tukutane Bar X

EMMY: Aah! Maongezi gani tena hayo ya kukaa Bar? Mimi sitojisikia huru maeneo hayo siyo ya kwangu kabisa!
Tafuta sehemu tulivu sio ya walevi.

TINA: Basi acha nitafute eneo zuri nitakupigia tena baadae.

Nilitaka tukakutane Bar sababu nitakua na mzee ili afanye utambulisho lakini anaona Bar sio sehemu ya hadhi yake.

BABA EMMY: Ningeshangaa kama Emmy angekubali kuja Bar. Binti yangu anajitambua sana mama yake kamlea vyema.

TINA: Kwahiyo Mimi ninayekubali kwenda Bar ndiye sijitambui?

BABA EMMY: Kila mtu na alivyolelewa bhana, nitampigia simu aje hapa nyumbani.
............................
Macho yangu yaligongana na ya Emmy, akanikazia macho sana na mimi nikajihisi aibu nikaangalia chini.
Emmy akanipita akawa ametangulia mbele huku Mimi nipo nyuma mpaka sebleni.
Hii ni baada ya geti kugongwa na tukajua huyu si mwingine bali ni Emmy na hakuna wa kwenda kufungua geti zaidi yangu.

"Karibu sana binti yangu" Mzee alimwambia

Emmy muda wote ananitupia jicho cha umakini na Mimi namkwepa.
Sikutegemea kama nitamuonea aibu hivi.
Nikaamua niende jikoni kumletea chakula anachokipenda, sio kingine zaidi ya chips kuku.

Muda unazidi kwenda lakini sioni hata dalili ya mzee kunitambulisha, nikaona nitoke niwaache labda atamwambia.

Nikaenda kujibanza kwenye korido lakini sikusikia nikitajwa zaidi ya wao kuongea mambo yao! Ilinihuzunisha sana muda mrefu ulipita.

Nikamsikia Emmy anasema "Baba acha Mimi niende, siunajua magari ya kwetu yanasumbua"

"Sawa binti yangu, chukua nauli hii hapa na usisahau kujitunza" Mzee alimwambia

Ilibidi niende nimsindikize, njiani wote tulikua kimya, tulipokaribia kituoni Emmy akavunja ukimya.

EMMY: Sikutegemea! Usiniambie ni mpenzi wake.

Nikanyamaza kimya tu huku natabasamu.

EMMY: Mlishafanya mapenzi? Mlitumia kinga?

TINA: Kwanini unauliza?

EMMY: Nijibu maswali yangu labda sijachelewa kukusaidia.

TINA: Tumefanya bila kinga.

EMMY: Aisee! Haya kwaheri acha nipande gari.

Tukaagana akaondoka, nikapata picha huenda Emmy anajua hali ya baba yake.
Niliporudi nyumbani nikamuuliza mzee mbona hakunitambulisha kwa Emmy? akanijibu yule ni mtu mzima ameshaelewa! Ilibidi niwe mpole siku ziende.
 
Story kimtindo inahuzunisha
 
Back
Top Bottom