Bora tozo kuliko Kutekana na wasiojulikana

Nyie ndio wanasesere mnaotajwa na Jinga lenu polepole.
 
Robert kama Robert [emoji16],achana na hao oooh sijui mama hivi sijui mama vile hivi wangepewa mama zao nchi in a week tu wangeweza kweli[emoji4]
 
I subscribe ...
 
Tatizo kubwa la waafrika wengi wakiingia madarakani na kugundua nguvu ya vyombo vya dola, badala ya kuviimarisha na kuvitumia kulinda nchi na wananchi wake, wanazuzuka na kuvitumia kufanyia ugaidi wananchi na kufisidi nchi. Tunaishia kuwa na majeshi weak yasiyoweza kupambana na matishio ya ukweli na tawala za ovyo kabisa zinazoharibu uchumi na kudumaza maendeleo.

Ni muhimu sana kuimarisha hadhi ya ubinadamu (human dignity) sio huu ushenzi wa kutekana, kuvunjana miguu, kuuana kwa kisingizio cha kulinda uzalendo. Hata neno lenyewe "uzalendo" hutumika kinafiki sana kwa lengo la kutukuza viongozi wanaojifanya miungu watu (personality cults).
 

Na quote siyo mimi.
It's better to live one day as a lion than a thousand years as a lamb

 
Kutekwa, kuuawa na tozo bora kipi. What the dude meant is simple and straightforward, naamini kama kuna kutokukubaliana naye ni kumpinga kwa mifano na facts.
 

Kweli kabisa Mkuu
 
Kuuliwa kunatokana na kihere here chako kwa mambo yasiokuhusu! Majanga haya yanawapata wote ambao wana shida ya kuwa viherehere kama mbelgiji wenu wa M4C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ