Bora tozo kuliko Kutekana na wasiojulikana

Dah hii mada umechemka kweli....yaani unalinganisha matatizo na kuona kuna tatizo bora?
Kesho utakuja kulinganisha ugonjwa..et bora ugonjwa huu kuliko huu...
Kiufupi, ulitakiwa uje na njia ya kutatua matatizo tuliyonayo, hakuna tatizo bora
 
Makachero wetu mbinu walizobobea nazo ni kutekana. Ukiwambia Mbinu za kuiba teknolojia na uchumi zero
 
Kwani alitekwa nani kama sio uongo mimi siamini na hicho unachokisema matendo ya akina hamuza hatukuyaona hata kidogo hatukuona mwanasiasa anaitwa gaidi


Hatukuona kiongozi wa serikali tena mkuu wa wilaya akawa mporaji

Ukitaka kujua uongozi uliokuwepo ulikuwa sawa angalia

Maedeleo na kifo cha magufuli watu walivyo mlilia hiyo indicator alikuwa kiongozi wa watu

Sasa tusubiri vifo vya wengine kama wataliliwa kizuri kikipotea wengi wanaumia


Kifo cha magufuli kinazudi hadi cha nyerere
 


Unataka Kueleza Jambo gani hapa?
 
Sina uhakika kama ni utaahira wa kuzaliwa nao au kujitoa ufahamu, Mwamedi(MO) hakutekwa au alitekwa wakati wa awamu hii ya SASHA? Lissu hakumiminiwa risasi mchana kweupe eneo ambalo kiutaratibu linalindwa 24/7? Ben Saanane baada ya kuuliza uhalali wa ile PhD maarufu alijipoteza mwenyewe?
Lile nduli halitakuja kusafishika hata mfanyeje.
 
Yote ni maumivu tu ndugu, kubinywa korodani na kukalia misumali hakuna ahueni.
 
Hata Mungu usipomtii lazima ufe.hyo ni sheria kabisa.ukifa na dhambi utaenda motoni.hapo Mungu amekuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…