Airfryer
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 430
- 1,039
Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto
Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya
Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya IEBC portal wamefoji kila kitu mpaka total wanakosea,
Fomu zinafunguliwa live toka kwenye Portal
Wakili wa Ruto akachanganyikiwa na Kusimama kuomba kuwa anayefungua fomu 34A kwenye portal ni kitu kipya baada ya kuona forgery zilizofanyika
Ushahidi wa Leo umemaliza kesi hii, Ruto kwisha habari yake
Bora Bongo tunaporwa kama tumesimama na tulishajikatia tamaa, Ndugu zetu hawa wanatuona sisi watanzania ni mbumbu na wao werevu sana