Bora Uchaguzi wa Tanzania, Ruto alishamalizwa na forgery zake huko

Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto

Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya

Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya IEBC portal wamefoji kila kitu mpaka total wanakosea,

Fomu zinafunguliwa live toka kwenye Portal

Wakili wa Ruto akachanganyikiwa na Kusimama kuomba kuwa anayefungua fomu 34A kwenye portal ni kitu kipya baada ya kuona forgery zilizofanyika
Ushahidi wa Leo umemaliza kesi hii, Ruto kwisha habari yake

Bora Bongo tunaporwa kama tumesimama na tulishajikatia tamaa, Ndugu zetu hawa wanatuona sisi watanzania ni mbumbu na wao werevu sana
Nilikuita kinyaa hukukubali leo SCOK imethibitisha.
 
Habari yako,karibu kwenye sherehe ya kuapishwa
 
Back
Top Bottom