Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
TrueBongo huku mihimili yote ina mwenyewe,, hii ishasemwa wazi wazi mara nyingi tu.... mwenye mihimili yote kuanzia mahakama, bunge, n.k. yupo
Kenya wametupiga gepu refu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueBongo huku mihimili yote ina mwenyewe,, hii ishasemwa wazi wazi mara nyingi tu.... mwenye mihimili yote kuanzia mahakama, bunge, n.k. yupo
Kenya wametupiga gepu refu sana
Buda mbona umepaniki Sana au wewe ni mke wa Ruto to relax man!Wabongo mna mavi kichwani... pambaneni tu habari za simba na yanga hizi chambuzi zenu huku zinatuletea kinyaa! Hovyo sana.
Unaniita mke tena unaniita man? Nichukue lipi kati ya hayo?Buda mbona umepaniki Sana au wewe ni mke wa Ruto to relax man!
2020 ilikuwa Erection sio Election
Mtanzania wa Dar es Salaam Ilala amepanic kwenye uchaguzi usiomuhusu wa kenyaJadilini connection za kina Uwoya na Amberuty hizi diasa mnatia kinyaa.
Kuonyesha form 34A ambayo pemben kulikuwa na jina Mvenesuera ndiyo mfumo kuingiliwa?Wewe. ndio hujaelewa chochote
Wakili Mahad wa IEBC alisema hakuna namna mfumo wao unaweza kuingiliwa hivyo fomu zizotolewa na walalamikaji ni za kughushi
Ndipo Wakili Msomi Soweto akamuomyesha mubashara namna mfumo huo ulivyoingiliwa na kuchezewa na Waveneziela
Ukiwa neutral hii kesi ni tamu Sana kuifuatilia
Namshangaa! Wakati ile form ilionyeshwa pale ilipigwa picha ikiwa chini kuna nyaraka nyingineHapo ameonyesha nini kilichothobitisha mfumo uliingiliwa?
Jumatatu ndiyo mwisho wa yote,wale Majudge wanajua nini cha kufanya.Tutabishana hapa kutegemeana tu na knowledge kidogo tuliyonayo.Tuwe na subra Jumatatu si mbali sana.Namshangaa! Wakati ile form ilionyeshwa pale ilipigwa picha ikiwa chini kuna nyaraka nyingine
Kila kituo kilipewa manual register, hio sajili ya wapiga kura ilikua iko na jina la huyo jamaa hapo chini, kilichofanyika ni PO wa IEBC alipokua anapiga picha ile form 34A aliiweka fomu hio juu ya hii sajili, hivyo ndo hilo jina lilijitokeza hapo kando ya fomu.... Case closed.Kuonyesha form 34A ambayo pemben kulikuwa na jina Mvenesuera ndiyo mfumo kuingiliwa?
Wewe. ndio hujaelewa chochote
Wakili Mahad wa IEBC alisema hakuna namna mfumo wao unaweza kuingiliwa hivyo fomu zizotolewa na walalamikaji ni za kughushi
Ndipo Wakili Msomi Soweto akamuomyesha mubashara namna mfumo huo ulivyoingiliwa na kuchezewa na Waveneziela
Ukiwa neutral hii kesi ni tamu Sana kuifuatilia
Jamaa mbobezi sana wa siasa hizi za uchaguziJames orengo Hana kaz mbovu..
Hahahah Kura alizopata mgombea kama zikiwa zimetokana na zile forgery vote count utasemaje...au unajitoa ufahamu na kujipa natumaini tuWewe hata huelewi kinachoendelea, huyo wakili alichoongea hapo ni famba tu, hakina uhusiano na matokeo ya mwisho
Hizo hesabu za kukosea kujumlisha ni total ya kura kwenye fomu ni kosa dogo sana ambalo haliathiri matoeo ya kura za ruto wala odinga
Chaguzi zote duniani hakuna ambao upo perfect 100% kinachoangaliwa ni je makosa yaliyofanywa ni makubwa kiasi cha kuathiri matokeo ya mwisho?
Kinachochukuliwa ni kura alizopata kila mgombea na sio ile total ya mwisho kwenye fomu hata kama imekosewa haiathiri
Subiri J3 mahakama itoe uamuzi ndio utajua ulikuwa hujui chochote
Subiri kesho uamuzi unatoka, bado masaa machacheHahahah Kura alizopata mgombea kama zikiwa zimetokana na zile forgery vote count utasemaje...au unajitoa ufahamu na kujipa natumaini tu
Hayo maneno Sasa..hivi let's just be in those judges shoes..with all that evidences, if it were you, what could you have judged?Subiri kesho uamuzi unatoka, bado masaa machache
Matokeo yakienda tofauti na m,ategemeo yaklo, tutajuwa kuwa wewe haujui na haujui.Wewe hata huelewi kinachoendelea, huyo wakili alichoongea hapo ni famba tu, hakina uhusiano na matokeo ya mwisho
Hizo hesabu za kukosea kujumlisha ni total ya kura kwenye fomu ni kosa dogo sana ambalo haliathiri matoeo ya kura za ruto wala odinga
Chaguzi zote duniani hakuna ambao upo perfect 100% kinachoangaliwa ni je makosa yaliyofanywa ni makubwa kiasi cha kuathiri matokeo ya mwisho?
Kinachochukuliwa ni kura alizopata kila mgombea na sio ile total ya mwisho kwenye fomu hata kama imekosewa haiathiri
Subiri J3 mahakama itoe uamuzi ndio utajua ulikuwa hujui chochote
Wewe Lusungo! tutajadilije kajala, diamond, ccm, Chadema kwenye uzi wa Kenya?Anzisha forum yako uweke hayo masharti.Mpuuzi mkubwa sana,unataka kupangia watu nini cha kujadili hapa? Wewe umekuwa Maxence?
Hayo maneno Sasa..hivi let's just be in those judges shoes..with all that evidences, if it were you, what could you have judged?mkuu hakuna ushahidi wowote pale
Mark my words, Raila anashindwaMatokeo yakienda tofauti na m,ategemeo yaklo, tutajuwa kuwa wewe haujui na haujui.
Mzee baba hukumu imekuwaje?Hayo maneno Sasa..hivi let's just be in those judges shoes..with all that evidences, if it were you, what could you have judged?