Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Daa wewe kama unayo wewe unazani ni wote, kuwa na staha ya maneno basi.Wabongo mna mavi kichwani... pambaneni tu habari za simba na yanga hizi chambuzi zenu huku zinatuletea kinyaa! Hovyo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa wewe kama unayo wewe unazani ni wote, kuwa na staha ya maneno basi.Wabongo mna mavi kichwani... pambaneni tu habari za simba na yanga hizi chambuzi zenu huku zinatuletea kinyaa! Hovyo sana.
Wakirudi aftre lunch Githu Muigai ana dismiss hii issue Simple and clearWewe. ndio hujaelewa chochote
Wakili Mahad wa IEBC alisema hakuna namna mfumo wao unaweza kuingiliwa hivyo fomu zizotolewa na walalamikaji ni za kughushi...
Siasa lakini ukweli umeshajulikanaWakirudi aftre lunch Githu Muigai ana dismiss hii issue Simple and clear
Hapo ameonyesha nini kilichothobitisha mfumo uliingiliwa?Wewe. ndio hujaelewa chochote
Wakili Mahad wa IEBC alisema hakuna namna mfumo wao unaweza kuingiliwa hivyo fomu zizotolewa na walalamikaji ni za kughushi...
Fomu imepigwa picha pembeni ya 'Tamper proof envelope', Tamper proof envelope zote zina hilo jina la mvenezuela wa Smartmatic. Kwa nini Azimio hawataki ku refer kwenye original 34A ya hiyo wanayosema imechezewa waone kama kuna namba zimechezeshwa?. I hope CJ Martha Koome atatoa uamuzi sahihiSiasa lakini ukweli umeshajulikana
Chebukati ni mhaini huwezi kugeuza tume kama genge la kuuzia.nyanya
Kiwambo kimoja kimetumika mara mbili ndani ya masaa mawili Katika umbali wa km 1001 sawa na Dar - SongeaHapo ameonyesha nini kilichothobitisha mfumo uliingiliwa?
Hilo swali waulize IEBC yule mvenezuela kafikaje?Fomu imepigwa picha pembeni ya 'Tamper proof envelope', Tamper proof envelope zote zina hilo jina la mvenezuela wa Smartmatic. Kwa nini Azimio hawataki ku refer kwenye original 34A ya hiyo wanayosema imechezewa waone kama kuna namba zimechezeshwa?. I hope CJ Martha Koome atatoa uamuzi sahihi
Subiria maamuzi ya mahakama acha ushabiki bwasheee..Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto
Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya
Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya IEBC portal wamefoji kila kitu mpaka total wanakosea,
Fomu zinafunguliwa live toka kwenye Portal
Wakili wa Ruto akachanganyikiwa na Kusimama kuomba kuwa anayefungua fomu 34A kwenye portal ni kitu kipya baada ya kuona forgery zilizofanyika
Ushahidi wa Leo umemaliza kesi hii, Ruto kwisha habari yake
Bora Bongo tunaporwa kama tumesimama na tulishajikatia tamaa, Ndugu zetu hawa wanatuona sisi watanzania ni mbumbu na wao werevu sana
Wakenya na SERIKALI Yao Wana akili kuliko hizi mburula za CCMWakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto
Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya
Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya IEBC portal wamefoji kila kitu mpaka total wanakosea,
Fomu zinafunguliwa live toka kwenye Portal
Wakili wa Ruto akachanganyikiwa na Kusimama kuomba kuwa anayefungua fomu 34A kwenye portal ni kitu kipya baada ya kuona forgery zilizofanyika
Ushahidi wa Leo umemaliza kesi hii, Ruto kwisha habari yake
Bora Bongo tunaporwa kama tumesimama na tulishajikatia tamaa, Ndugu zetu hawa wanatuona sisi watanzania ni mbumbu na wao werevu sana
Kiwambo ndiyo nini? Hahahaa tatizo unawasikiliza hao mawakili wa Odinga wanaopika usahihi na kuwaamini moja kwa moja, hasa huyo Soweto, hawa waliofoji hadi fomu za 34A na kuzipleka mahakamani kama ushahidiKiwambo kimoja kimetumika mara mbili ndani ya masaa mawili Katika umbali wa km 1001 sawa na Dar - Songea
Hizo takataka za CCM zinazojaribu ku justfy ufirauni wao wa NEC!!Hapo ameonyesha nini kilichothobitisha mfumo uliingiliwa?
Hawa mawakili wala hawajibu yale maswali ya msingi waliyoulizwa na majaji kwenye rejoinderFomu imepigwa picha pembeni ya 'Tamper proof envelope', Tamper proof envelope zote zina hilo jina la mvenezuela wa Smartmatic. Kwa nini Azimio hawataki ku refer kwenye original 34A ya hiyo wanayosema imechezewa waone kama kuna namba zimechezeshwa?. I hope CJ Martha Koome atatoa uamuzi sahihi
Ukiwa na upande lazima uteseke bwasheeKiwambo ndiyo nini? Hahahaa tatizo unawasikiliza hao mawakili wa Odinga wanaopika usahihi na kuwaamini moja kwa moja, hasa huyo Soweto, hawa waliofoji hadi fomu za 34A na kuzipleka mahakamani kama ushahidi
Anzisha forum yako uweke hayo masharti.Mpuuzi mkubwa sana,unataka kupangia watu nini cha kujadili hapa? Wewe umekuwa Maxence?Mnakera sana hamjui vitu bado mnang'ang'ana tuu... jadilini habari za akina Diamond, Kajala, Simba Yanga na upuuzi mwingine.
Hata mkijifariji lakini upuuzi wenu wa 2020 Hakuna atakayewasamehe labda wapuuzi wenzenu.Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto
Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya
Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya IEBC portal wamefoji kila kitu mpaka total wanakosea,
Fomu zinafunguliwa live toka kwenye Portal
Wakili wa Ruto akachanganyikiwa na Kusimama kuomba kuwa anayefungua fomu 34A kwenye portal ni kitu kipya baada ya kuona forgery zilizofanyika
Ushahidi wa Leo umemaliza kesi hii, Ruto kwisha habari yake
Bora Bongo tunaporwa kama tumesimama na tulishajikatia tamaa, Ndugu zetu hawa wanatuona sisi watanzania ni mbumbu na wao werevu sana
Hata mkijifariji lakini upuuzi wenu wa 2020 Hakuna atakayewasamehe labda wapuuzi wenzenu.Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto
Potal inafunguliwa Live mahakamani ni total forgery uchaguzi wa kenya
Fomu 34A ambazo zimekuwa uploaded ndani ya IEBC portal wamefoji kila kitu mpaka total wanakosea,
Fomu zinafunguliwa live toka kwenye Portal
Wakili wa Ruto akachanganyikiwa na Kusimama kuomba kuwa anayefungua fomu 34A kwenye portal ni kitu kipya baada ya kuona forgery zilizofanyika
Ushahidi wa Leo umemaliza kesi hii, Ruto kwisha habari yake
Bora Bongo tunaporwa kama tumesimama na tulishajikatia tamaa, Ndugu zetu hawa wanatuona sisi watanzania ni mbumbu na wao werevu sana
Hawa wanasukumwa na mihemko tu wakati mahakama inaangalia process nzima ya uchaguzi.Pana swali moja limeulizwa na Judge,kulikuwa na haraka gani ya kutangaza matokeo wakati bado Tume ilikuwa na siku moja nzima ya kuweka sawa mambo? Badala wajikite katika kuangalia kwanini Majudge wanaulizs hayo maswali wao wako tu wanang'ang'na na kile wanachopenda kukisikia.Ukitoa mtazamo tofauti wanachukia.Ulifuatilia kilichisemwa na mahakama 2017 mpaka kufikia kufuta uchaguzi? Kama Ndio, kura zilizozid 2017 zingeweza kuathiri matokeo ya mwisho? Kwanini mahakama ilifuta matokeo yale?
Ok, we subiri tu jtatu, wimbo utabadilika kutoka Chebukati amehongwa na Ruto kuwa mahakama imehongwa na RutoUkiwa na upande lazima uteseke bwashee
Chebukati yuko SomaliaOk, we subiri tu jtatu, wimbo utabadilika kutoka Chebukati amehongwa na Ruto kuwa mahakama imehongwa na Ruto
Kenya ni mwalimu wa demokrasia Afrika Mashariki na kati...👍👍Wakuu mambo ni live TV za Kenya, Portal ya IEBC Jamaa wa Venezuela walimbeba Ruto