Bora Uchaguzi wa Tanzania, Ruto alishamalizwa na forgery zake huko

Jadilini connection za kina Uwoya na Amberuty hizi diasa mnatia kinyaa.
Mtanzania wa Dar es Salaam Ilala amepanic kwenye uchaguzi usiomuhusu wa kenya

Wewe ni kituko sana, Mtanzania umepanic kuliko wakenya wenye nchi yao

Lusungo, Nileteeni Lusungo, Mleteni lusungoooooooo wa Tanzania
 
Kuonyesha form 34A ambayo pemben kulikuwa na jina Mvenesuera ndiyo mfumo kuingiliwa?
 
Namshangaa! Wakati ile form ilionyeshwa pale ilipigwa picha ikiwa chini kuna nyaraka nyingine
Jumatatu ndiyo mwisho wa yote,wale Majudge wanajua nini cha kufanya.Tutabishana hapa kutegemeana tu na knowledge kidogo tuliyonayo.Tuwe na subra Jumatatu si mbali sana.
 
Kuonyesha form 34A ambayo pemben kulikuwa na jina Mvenesuera ndiyo mfumo kuingiliwa?
Kila kituo kilipewa manual register, hio sajili ya wapiga kura ilikua iko na jina la huyo jamaa hapo chini, kilichofanyika ni PO wa IEBC alipokua anapiga picha ile form 34A aliiweka fomu hio juu ya hii sajili, hivyo ndo hilo jina lilijitokeza hapo kando ya fomu.... Case closed.

Mfano wa manual register ya kituo kimoja, angalia hapo upande wa chini utaliona hilo jina



Hii ndo fomu ambayo ilionyeshwa live mahakamani kama 'ushahidi' wa kwamba kura ziliibiwa kwasababu ya hilo jina jose.camargo linaloonekana hapo juu upande wa kushoto.. lakini kama nilivyokuonyesha hapo awali, hilo jina liko kwa sajili ya wapiga kura kwa kila kituo...




So hakuna lolote hapo, ma lawyer wa Raila walipotezea mahakama muda tu... Kama kura zitaregelewa basi itakua si eti sababu ziliibwa, sababu itakua ni Ruto hakushinda over 50% ya kura kwasababu ya makosa ya hesabu... Hii ndo sababu pekee inayoweza mufanya kura zirudi kwa run-off
 

Attachments


Kumbe kuna wakati akili zinakurejea.
 
Hahahah Kura alizopata mgombea kama zikiwa zimetokana na zile forgery vote count utasemaje...au unajitoa ufahamu na kujipa natumaini tu
 
Hahahah Kura alizopata mgombea kama zikiwa zimetokana na zile forgery vote count utasemaje...au unajitoa ufahamu na kujipa natumaini tu
Subiri kesho uamuzi unatoka, bado masaa machache
 
Matokeo yakienda tofauti na m,ategemeo yaklo, tutajuwa kuwa wewe haujui na haujui.
 
Anzisha forum yako uweke hayo masharti.Mpuuzi mkubwa sana,unataka kupangia watu nini cha kujadili hapa? Wewe umekuwa Maxence?
Wewe Lusungo! tutajadilije kajala, diamond, ccm, Chadema kwenye uzi wa Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…