Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

Hii operation ya urusi ikiendelea kuwa ndefu itapelekea serikali za ulaya kuangunga, maana wananchi wao hawajazoea mifumuko ya bei
 
Hii operation ya urusi ikiendelea kuwa ndefu itapelekea serikali za ulaya kuangunga, maana wananchi wao hawajazoea mifumuko ya bei
Na sasa winter inanyemelea na mjamaa kaishafunga koki. Ngoja tukae kimya tuangalie mchezo utakuwaje
 
Huyo ataondoka kama yule maza wakati wa Brexit

Halafu huyu waziri naona waingereza waliingia chaka kumchagua
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] byee byee Boris mbwa huyo aondoke anapenda sana sifa
 
Anagongwa au anagonga?[emoji41][emoji41][emoji41]
Sijui matatizo gani. Wanasema tu Boris Johnson anawaomba radhi watu wote kwamba ingawa tuhuma za ngono kuhusu yule jamaa alizisikia toka 2019,lakini bado alimchagua kuwa Waziri wa Fedha. (Actually,hizo ni tabia za ki Freemason,mtu anapewa cheo KWA SABABU KUNA KASHFA KATIKA MAISHA YAKE ili iwe rahisi kumthibiti.).
Incident kama hii ilitokea katika Cabinet ya Tony Blair. Mawaziri wawili wanaume,mmoja alikuwa anamtafuna mwenzake. Habari zilipofahamika itatokea taharuki,kila mtu anataka kujua jambo gani litatokea. Mwandishi wa habari mmoja akasema,"Mi nadhani Tony Blair atawafukuza kazi kesho asubuhi." Na ndio ilivyotokea,kesho yake asubuhi wakafukuzwa kazi.
 
Hiyo picha hapo huyo Muhindi na Muiraq Kuna kitu wanaangalia kwa Boris
 
kumbe Wahindi daah safi sana Uingereza sasa wamekubali yaishe hata timu ya ya Taifa iliyumba sana kwa ubaguzi wao
 
Sasa huyo Pincher tabia gani za kushikashika wanaume wenzake ? Sijui anataka apelekewe moto au apeleke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…