Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

Hiyo picha hapo huyo Muhindi na Muiraq Kuna kitu wanaangalia kwa Boris
Hao ni wahindi.

Nadhim Zahawi ndie mkimbizi wa kiiiraq aliekulia Uingereza.
 
Habari zaidi ambazo zimethibitishwa hadi kufikia jioni hii, wabunge wapatao 38 wamejiuzulu nafasi zao serikalini.

Pia habari ambazo zimeripotiwa na gazeti la The Times la Uingereza ni kwamba waziri mwingine mwandamizi wa mambo ya ndani bibi Priti Patel nae amemushauri bwana Boris Johnson kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom