Habari zaidi ambazo zimethibitishwa hadi kufikia jioni hii, wabunge wapatao 38 wamejiuzulu nafasi zao serikalini.
Pia habari ambazo zimeripotiwa na gazeti la The Times la Uingereza ni kwamba waziri mwingine mwandamizi wa mambo ya ndani bibi Priti Patel nae amemushauri bwana Boris Johnson kujiuzulu.