UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Unakula vp maisha wakati unateseka chuki inakutafuna na kibaya unayemchukia ameshakufa huna lolote la kufanya kulipiza ili kupunguza machungu, sijui Magufuli kakufanya nini ila nachojua hukuwa na la kumfanya hukuweza japo hata kumtukana akakusikia mpaka anakufa na kafa kakuacha na chuki huna la kufanya zaidi ya kujilazimisha kuamini tu kuwa kafa kwa corona ili upunguze machungu.Pole jipe wewe unyeabudu dubwasha la Chato. Sisi tunakula maisha
Hahaha dah! maisha haya sio kabisa,pole sana ndugu yangu wewe utakufa nayo hiyo chuki halafu unaenda kuungana na Magufuli wote mnatafunwa na funza kudadadeki.😂😂😂😂😂😂