Unahitaji kuwa mtalaamu wa suala husika kuweza kupata takwimu husika.
1.Mtu kuchanjwa (to be vaccinated) haimaanishi ndiyo kapata kinga (get immunized). Wapo wanaochanjwa lakini hawapati kinga kutegemea na efficacy ya chanjo (vaccine) husika. Hakuna vaccine yenye 100% efficacy. Hizo zilizotumiwa na waingereza zinadaiwa kuwa na efficacy ya 80% hadi 90%. Maana yake asilimia 10% hadi 20% waliopata chanjo kamilifu (full vaccination) hawatapata kinga. Na hao 80% hadi 90% watakaopata hiyo kinga, muda wa kudumu nayo hiyo kinga haijulikani inakisiwa kuwa ni miezi 3 hadi 6. Hivyo inamaanisha kwamba kila miezi 6 zoezi zima la uchanjaji lifanyike. Kumbuka chanjo hizi ni ghari. Kila chanjo ni USD 35 kwa dose moja na ili kupata chanjo kamili unahitaji chanjo mbili. Tanzania ina watu million 60. Haya zidisha $ 70 × 60,000,000 kupata USD zinazohitajika halafu zidisha exchange rate ya 2,300 kupata TSh tutakazotumia au kukopeshwa kuchanja kila mtu. Utaona ni zaidi ya bajeti yetu ya Mwigulu Nchemba!
2.Takwimu sahihi za uchanjaji huko Uingereza hadi tarehe 4 Julai zilikuwa hivi:
- At least one dose 68.0%
- Fully vaccinated 50.6%
Target yao ni 60% full vaccination, ambayo ndiyo ratio ya kisayansi inayohitajika kupata herdimmunity na kutokomeza any epidemic. Imeonekana wazi kuwa hiyo herdimmunity kupitia chanjo hizi ni jambo ambalo haliwezekani. Hivyo hii phase iv trial ya hizi chanjo limekamilika, bahati mbaya matokeo yake yamekuwa hasi. Tunasubiri tafiti ya chanjo aina tofauti kama tunavyosubili ile ya virusi vya HIV. It may take 100 years.
Takwimu za uchanjaji kwenye nchi ndogo ya kijeshi ya Israel ambayo population yake ni watu million 8 tu, inazidiwa kwa mbali na Burundi ni kama ifuatavyo hadi tarehe 5 Julai:
- At least one dose 62.6%
- Fully vaccinated 57.2%
Hivyo utaona hakuna tofauti yo yote kati ya nchi hizi mbili kiuchanjaji. There is no significant statistical difference even by the student test. Kumbuka population ya UK ni kubwa kuliko hata ya Tanzania. UK wana watu million 68.
-