samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Dah inasikitisha sana,
Ina maana vile vifo vya maelfu vilivyokuwa vinatokea ulaya ni fake? Maana kama walikuwa wanakufa watu mpaka 3000 kwa siku na leo UK wanakufa 15 kwa siku maana yake kuna maendeleo baada ya kitu fulani kufanyika inawezekana chanjo imewasaidia na research zao zinaonyesha hakuna haja tena ya watu kujifungia.
Je, sisi huku kuna hatua gani kubwa ya kitalaam tuliyochukua ambayo inaweza kutufanya tuwe huru kuzurula na kujichanganya? Je, tunajua idadi kamili ya waathirika na waliokufa mpaka sasa tukawa na uelewa wa ukubwa wa tatizo?kuna wave yeyote ambayo imeshaleta madhara kwetu? kama hakuna, kuna hatua gani za kitalaam tulizochukua ambazo zimetukinga?