Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Mbona yule wa IPP media ameoa binti mbichiiii tena uzee.
 
Sasa Ruge tu unaogopa kumfungukia hadi unatumia mafumbo kibao je ingekuwa Mzee Kipara wa kule usukumani? Anyway, muacheni Ruge ajilie vitu laini si wanataka wenyewe?
Na siku hizi hana ndevu.
 
Hao mabinti wanajipeleka wenyewe. Ukiona sehemu ya kazi mmtumishi wa kike anazini na msimamizi wake basi elewa kuwa hajiamini katika utendaji wake na hivyo kutaka protection.

Mimi nitamlaani huyo boss kwa kumzalisha mdogo wangu akiwa na miaka 14 tu na kuharibu maisha yake kabisa mpaka mauti yakamkuta.

RIP Bezamenyo
 
Radio ya watu
Isiyopendwa na watu
Isiyopiga nyimbo za watu
Bali za wasanii wao
Wasiopendwa na watu.



Over!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…