Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nilipo inabidi niongeze laga nyingine tu.
Kumbe ALIMPITIA hadi Fina! Daah. Jamaa noma!Tehe tehe, eti binti Embe....Poor Fina.
Nam nasubir jibu,, ila wanabid wawe wanaangaliaa na magonjwaDuh hivi dj sinyorita nae kampitia?
Afu nasikiaga wako post.....Nam nasubir jibu,, ila wanabid wawe wanaangaliaa na magonjwa
Ndio hivyo kama naona VIH inavyowauaaaAfu nasikiaga wako post.....
Ila sina uhakika. Hela hizi zitatumaliza kwa kweli
Mbona yule wa IPP media ameoa binti mbichiiii tena uzee.Mbona yule Boss Many ndio kwanza kavuta kitu kibichi...kuna dhambi gani Msela akasubiri muda muafaka naye akavuta jiko lake? mbona bado mapema tu?
Alafu hakunaga kitu kinaitwa "kuchezea"....hao ni binadamu wenye akili zao timamu sio Wanasesere, sasa wanachezewa vipi?...nao huingia shambani kuvuna wakiwa na akili zao timamu ati...ni win win situation.
Na siku hizi hana ndevu.Sasa Ruge tu unaogopa kumfungukia hadi unatumia mafumbo kibao je ingekuwa Mzee Kipara wa kule usukumani? Anyway, muacheni Ruge ajilie vitu laini si wanataka wenyewe?
Radio ya watuMara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu.
Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo kabla ya kumfukuza kazi pamoja na kijana makatuni.
Bosi huyo kaendelea kuchafua kwa kumzalisha mtumishi wake bint Mstimu watoto wawili.
My take: Najua kuwa ni maisha yake binafsi lakini unatuumiza unapowazini Dada zetu na kuwatupa, umempotezea muda sana bint Embe.
Kumbe mtoa mada kamlenga bos wa mawinguni ..bas sawamawinguni wamejaa wahuni watupu
Unajielewa after two kids!???Zama anajielewa sana ila of all the people nilijua zama ndie mmiliki halali muke halal ya ruge duuu dunia Ina mambo