Kama unajua nimaisha yake binafsi, na tatizo lako ni kwa dada zako, sema na dada zako waache kumshobokea.
ndewe ndio niniMawinguni wapo wala ndewe
nasikia kaolewa...!!labda jamaa ake alikuwa hatak aendelee kutangaza now anauza nguo(fettylicious streetlook)Hahahahah noma sana vijana, nmependa hii style ya tafsida. Hivi yule fettylicious alizingua nn hadi akachezea nyekundu wadau?
Rugemalira Wakuhaba ebye hatari hapo ndani ya Mawingu mediaMara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu.
Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo kabla ya kumfukuza kazi pamoja na kijana makatuni.
Bosi huyo kaendelea kuchafua kwa kumzalisha mtumishi wake bint Mstimu watoto wawili.
My take: Najua kuwa ni maisha yake binafsi lakini unatuumiza unapowazini Dada zetu na kuwatupa, umempotezea muda sana bint Embe.
Ee amejua kujiongeza ameona hapa hakuna kinachoendelea akaona apite zake hivi ana akili sana yule dada kwanza ana damu ya kizungu basi tu...Unajielewa after two kids!???
Ahaa hongera zake,nasikia kaolewa...!!labda jamaa ake alikuwa hatak aendelee kutangaza now anauza nguo(fettylicious streetlook)
Zamaradi kapita,Dina kapita,kiuno bila mfupa kapita,sasa hivi naskia anapita kwa nanihii ndo mana binti mstimu kamtema😀😀😀😀😀😀😀Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu.
Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo kabla ya kumfukuza kazi pamoja na kijana makatuni.
Bosi huyo kaendelea kuchafua kwa kumzalisha mtumishi wake bint Mstimu watoto wawili.
My take: Najua kuwa ni maisha yake binafsi lakini unatuumiza unapowazini Dada zetu na kuwatupa, umempotezea muda sana bint Embe.
nani huyo funguka mkuuHao mabinti wanajipeleka wenyewe. Ukiona sehemu ya kazi mmtumishi wa kike anazini na msimamizi wake basi elewa kuwa hajiamini katika utendaji wake na hivyo kutaka protection.
Mimi nitamlaani huyo boss kwa kumzalisha mdogo wangu akiwa na miaka 14 tu na kuharibu maisha yake kabisa mpaka mauti yakamkuta.
RIP Bezamenyo
Fetty aliacha mwenyewe baada ya mchumba kumwambia aache kazi akamfungulia duka pale kino, na yule mchumba akafanya maamuzi yasiyojulikana baadae akasababisha mwenzie aache kazi na yeye akamuachaHahahahah noma sana vijana, nmependa hii style ya tafsida. Hivi yule fettylicious alizingua nn hadi akachezea nyekundu wadau?
Hajaolewa, jamaa ana mke sasa kabla hajapeleka ombi la kuongeza mke wa pili kwa mke wake mke akagundua ikabidi amuache Fetty.nasikia kaolewa...!!labda jamaa ake alikuwa hatak aendelee kutangaza now anauza nguo(fettylicious streetlook)
Kwani ukiwa mfanyakazi hutakiwi kumpenda boss? btw Ruge alishapropose kwa Zama sema Zama aligundua hakuna muoaji akajiongeza.Kimbaombao Zama alitaka
Mwenyewe kula na Bo's,alitaka
Mwenyewe kuzaa maana mimba
Ndo alibeba Kwa kutaka umaarufu
Wa kugongwa na Bo's
Waacha amevuna alichopanda
Wanawake mufkirie kabla ya kutendaFetty aliacha mwenyewe baada ya mchumba kumwambia aache kazi akamfungulia duka pale kino, na yule mchumba akafanya maamuzi yasiyojulikana baadae akasababisha mwenzie aache kazi na yeye akamuacha
Hivi kumbe waliooa sio watu makini?Ruge ni MTU makini hawezi oa
Mapenzi kaka angu na ukizingatia alivyomuachisha kazi alimfungulia duka akaona sawa tu tena anaenda kuwa mke wa tajiri. Ila mimi huo ujinga mume wangu asiniletee kabsaaa, akiniachisha kazi anifungulie biashara inayohusiana na elimu yangu sio nimesoma sheria ukanifungulie biashara ya pharmacyWanawake mufkirie kabla ya kutenda
Sasa now anajilaumu sana kuacha kaz
Inawezekna kula na Bo's wakoKwani ukiwa mfanyakazi hutakiwi kumpenda boss? btw Ruge alishapropose kwa Zama sema Zama aligundua hakuna muoaji akajiongeza.