Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Fetty aliacha mwenyewe baada ya mchumba kumwambia aache kazi akamfungulia duka pale kino, na yule mchumba akafanya maamuzi yasiyojulikana baadae akasababisha mwenzie aache kazi na yeye akamuacha
Dah ina maana fetty yupo single sahivi na kazi hana?!....Fursa hii
 
Uo umri hana apo ukiongeza miaka kdg isiyozidi miaka kumi ndo umri wa babake prof mutahaba
 
Nataka siku moja nimtafute Ruge nimwambie anipe siri ya kugegeda na kula kona, mzee wa fursa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…