Aisee kwa hiyo tutaanza kuokota mapesa barabarani wacha weeBosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia.
Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila kupepesa maneno, tunaona kabisa lilipwaya katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
#MamaYukokazini
View attachment 2008109
Anakubiringikia kwa nyuma yako safi sanaMwendazake anabiringika tu kaburini akisikia hivi
Really? You need to revisit your sources. Sudan tu baada ya mapinduzi ya kijeshi wametishiwa kusitishiwa mikopo/misaada.Bank ya Dunia haina mambo ya diplomasia, wb wanaikopesha hadi korea kaskazini iliyojaa udikteta.
Wao wb wanachotafta ni biashara hakuna mahusiano eti siju diplomasia. Hizo ngonjera za kusifia sifia wadanganyeji mataahira wengine.
Kwa hiyo bwana Kilaza unatuambiaje hapa tunatekwa nyara ama!!?Ukishawajua tabia za binadamu uwezi sumbua kichwa.
Wapole, wakorofi, roho mbaya, wanafiki and so on; kila kundi tabia zao zinafanana popote walipo duniani.
Sifa za mnafiki ni kujihami pale anapoboronga, na kuamisha lawama kwa wengine ili yeye aonekane yeye mwema.
Siku zote anaenza kujijitea chukulia upande wake robo story upande wa pili ndio ina una robo tatu na mara nyingi uto upata upande wa pili kama muhusika ni mstaarabu.
Hizi habari za Magufuli kakopa sana siku za karibuni wengine tulishajua hali ni tete ni hatua za kujihami mabeberu ya IMF/WD yashapiga hodi.
Really? You need to revisit your sources. Sudan tu baada ya mapinduzi ya kijeshi wametishiwa kusitishiwa mikopo/misaada.
Yaani kwa hizi ziara ziara yajayo yanafurahisha!Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia.
Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila kupepesa maneno, tunaona kabisa lilipwaya katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
#MamaYukokazini
View attachment 2008109
Umemfahama sawa sawamwenyeWorld Bank and IMF support to dictatorships – CADTM
In July 2024, the World Bank and the IMF will be 80 years old. 80 years of financial neo-colonialism and the imposition of austerity policies in the name of debt repayment. 80 years is enough !…www.cadtm.org
Wb zimefadhili nchi nyingi tu za kidikteta ikiwemo Chile, Zaire chini yaa Mobutu, Nicaragua nk.
Usidanganywe kwamba wb wanaangalia demokrasia tu, utapotea.
Sijakataa kwamba haija suspend ila nilichotaka kukuonyesha kwamba wb wana utamaduni wa kufadhili madikteta miaka na miaka, hiyo ya Sudan isikufanye uahindwe kujua tabia zao.Umemfahama sawa sawamwenyeView attachment 2008144 hiyo article? Committee for Abolition of Illegitimate aid/loan?
Hivi hatuwezi kumsifia Mama Samia bila kumbagaza mtangulizi wake?.Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila kupepesa maneno, tunaona kabisa lilipwaya katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
#MamaYukokazini
Anakuja kudai chao, hawajalipa deni mwezi wa tatuBosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia.
Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila kupepesa maneno, tunaona kabisa lilipwaya katika kipindi cha miaka sita iliyopita.
#MamaYukokazini
View attachment 2008109
Mbona unapenda sana nyuma? Ulitokea nyuma badala ya mbele nn?Anakubiringikia kwa nyuma yako safi sana
Endelea kubinuka ili ngoma izame...Mbona unapenda sana nyuma? Ulitokea nyuma badala ya mbele nn?
Taarifa ulizo nazo siyo sahihi. WB hawatoi mkopo kwa kila nchi isipokuwa kama hiyo nchi inafikia viwango vya lazima ambavyo ni pamoja na kuzingatia ustawi wa maisha ya raia.Sijakataa kwamba haija suspend ila nilichotaka kukuonyesha kwamba wb wana utamaduni wa kufadhili madikteta miaka na miaka, hiyo ya Sudan isikufanye uahindwe kujua tabia zao.