The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Uwe unasoma kwanza unaelewa kabla hujakurupuka kujibu.Taarifa ulizo nazo siyo sahihi. WB hawatoi mkopo kwa kila nchi isipokuwa kama hiyo nchi inafikia viwango vya lazima ambavyo ni pamoja na kuzingatia ustawi wa maisha ya raia.
Utawala wa marehemu Magufuli, mwanzoni ulikubaliwa kypewa mkopo toka WB kwaajili ya ujenzi wa barabara pana toka Dar mpaka Chalinze lakini baada ya kuwabomolea watu nyumba na kugoma kuwalipa fidia, WB ilifuta mkopo ambapo tayari ulikuwa umekubaliwa.
Hapo juu nimekuwekea links zinazoonyesha wb kufadhili serikali za kidikteta na pesa walizotoa ikiwemo Zaire, Chile, Nicaragua na nyinginezo zikiwa zinatawaliwa na mapinduzi ya kijeshi na madikteta.
Jitahidi kutafta vyanzo mbali mbali vya habari ujiongezee maarifa kwanza.