Bosi wa benki ya dunia kuja kuonana na Rais Samia

Uwe unasoma kwanza unaelewa kabla hujakurupuka kujibu.

Hapo juu nimekuwekea links zinazoonyesha wb kufadhili serikali za kidikteta na pesa walizotoa ikiwemo Zaire, Chile, Nicaragua na nyinginezo zikiwa zinatawaliwa na mapinduzi ya kijeshi na madikteta.

Jitahidi kutafta vyanzo mbali mbali vya habari ujiongezee maarifa kwanza.
 
wametishiwa kusitishiwa mikopo/
Kutishiwa ni tofauti kabisa na kusitisha.
Hawa jamaa huwa ni biashara yenye maslahi kwao...full stop!

Ukiona wanatoa tahadhari hivyo, wameshaona mazingira hatarishi kwa pesa yao sio vinginevyo.
 
Safi sana Karibu mgeni
 
Bank ya Dunia haina mambo ya diplomasia, wb wanaikopesha hadi korea kaskazini iliyojaa udikteta.

Wao wb wanachotafta ni biashara hakuna mahusiano eti siju diplomasia. Hizo ngonjera za kusifia sifia wadanganyeji mataahira wengine.
Hama Nchi kenge wewe,hizo chuki zako kwa Rais zitakuua
 
Anna Nkya feki unajua kwanini watu wanakudharau ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Jinsi alivyogawanya Ile mkopo hakuna mkuu yoyote wa dunia ataacha kuja

Wapemba oyeee

Wabara wezi sanaaa

Akitoka samia waingie Hussein mwingi. Wakitoka mwinyi aingie jusa etc
 
Siyo kwamba anakuja Kumkumbuka Madeni yaliyoko na kumwambia akope kwa Malengo na wao WB wanaona Aibu kuona nchi yenye Rasilimali nyingi kama Tanzania inakopa tu 24/7 wakati Taifa dogo kama Mfano la Rwanda halikopi hovyo Kwao na hawana Rasilimali nyingi na nchi yao inapiga Maendeleo ya haraka?
 
Bank ya Dunia haina mambo ya diplomasia, wb wanaikopesha hadi korea kaskazini iliyojaa udikteta.

Wao wb wanachotafta ni biashara hakuna mahusiano eti siju diplomasia. Hizo ngonjera za kusifia sifia wadanganyeji mataahira wengine.
Umeua mkuu, wajinga wengi sana hii nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…