Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Thanks brother, umeongea point sana sana!Watakaoelewa na waelewe
Dunia inaenda kwa kasi sana na magari ya umeme yatazalishwa sana ila na sisi basi tuwe hata na wazo yaani wazo tu sio tufanye maana akili zetu zinatutosha wenyewe
Tuwaze hata kuwa na kiwanda cha kwanza kikubwa Africa kutengeneza Batteries kwa ajili ya magari ya umeme
Kwa sasa ukiangalia [emoji636] wako nyuma sana hata production yao ya magari imepungua sana na ni hela nyingi sana kuweza kumudu magari ya umeme kwa sasa
Kweli tutashindwa hata tukiweka mikakati ya miaka 15 kuanzia sasa?
Watoto wasomesheni kazi na uvumbuzi na sio kukariri wanatoka shule hata kuvuka barabarani hawajui
Ingredients zote tunazo kwenye ardhi yetu na jirani kwanini tuwe mazuzu miaka yote
Tupambane sana sio mmekalia kutwa katiba katiba
Hiyo katiba itakuja tu kama tutawadharau hao viongozi na kutokuhudhuria mikutano yao View attachment 2500115View attachment 2500116
Natamani wengi wetu tungekuwa na mawazo kama haya.