Teh teh babu tale anawasanii wengi tu yamoto band, temba, chege lakini cha ajabu anahusishwa diamond peke yake wabongo bhana ingekuwa uchawi unasaidia wasanii kiasi hicho basi hakuna haja za kufanya kazi kwa bidii na ubunifu wa kutosha, hakuna jipya hapa hata psquare waliambiwa wamemtoa mama yao kafara kisa wanafanikiwa
Teh teh babu tale anawasanii wengi tu yamoto band, temba, chege lakini cha ajabu anahusishwa diamond peke yake wabongo bhana ingekuwa uchawi unasaidia wasanii kiasi hicho basi hakuna haja za kufanya kazi kwa bidii na ubunifu wa kutosha, hakuna jipya hapa hata psquare waliambiwa wamemtoa mama yao kafara kisa wanafanikiwa
+kuna ndugu zetu wengine walipotea kabisa kwenye nyuzi za Diamond lakini huu nawaona wanamiminika kwa wingi teh! teh!
Kwa hiyo dawa za huyo mganga kwa akina madee zinadunda lakini kwa Diamond ndo zinafanya kazi, au?Leo katika XXL ya Clouds fm Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amekubali kuwa huwa anashiriki katika masuala ya kishirikina.
Hali ambayo imeleta mjadala kuwa yawezekana huwa anaenda kwa waganga kwaajili ya kumsaidia msanii wake Diamond.
Mpwa, nyie wasomi watoto wa Mbezi Beach kumbe mnaamini kwamba uchawi unaweza kumfanya mtu afanikiwe? Sie huku Uswahilini na Uswahili wetu wote hatuwezi kuamini upumbavu kama huo lakini leo nashangaa wale wale watoto wa kishua, waliosomea ng'ambo kumbe ni miogoni mwa watu wanaoamini uchawi unaweza kumsaidia mtu!!!MMh ebu usitufanye watoto apa, kwa hyo na wewe unajifanya hujaelewa?? Diamond mshirikina toka zamani, we waache tu ipo siku yatamkuta, ata ajulikane dunia nzima ila mwisho wake sio mzuri, mtoto mdogo anakuwa mchawi, yani babu tale katufungua macho
Halafu Mpwa mbona unapenda sana kashifa za aina hii? Mie siku moja ilibidi nimuombe Mungu tu anilinde ili tusitoleane lugha zisizofaa humu jamvini pale uliponiambia kauli kama hiyo! Hivi humu jamvini kuna wasanii wangapi unawashabikia? Mbona watu hawakuambii kauli za maudhi kama hizo? Nenda kule jukwaa la michezo uone watu wanavyowashabikia akina Ronaldo, Messi n.k... unatak kusema wote wale wanaweza kufi'rwa na hao akina Ronaldo? Yaani mpwa wakati mwingine mtu akikusoma anaamini kabisa kwamba huyu jamaa mjanja lakini comment zako zingine utafikiri umetoka kijijini kwenu leo! Hivi ni ajabu kwenye tasnia ya burudani kuona wanaume wanawashabikia wanaume wenzao? Yaani wewe upo tayari kuona mwanaume anamshabikia mwanaume mwingine yeyote yule lakini akimshabikia Diamond tu, kwako inakuwa nongwa? Hivi alikufanya nini huyu jamaa hadi kila uone anayemshabikia basi anaweza kuwa tayari kufi'rwa na huyo Diamond? Sasa kama mtu mkun'du wa kwake, hata akiwa tayari kufi'rwa wewe inakuuma au inakuhusu nini? Mpwa, mwezi mtukufu huu, hata kama wewe huamini katika hilo, jitahidi kuwa na staa manake hufahamu imani za wengine humu jamvini kwahiyo usije ukawaingiza wenzako majaribuni bila sababu za msingi... heri basi mtu angekuwa amekutukana lakini unaibuka tu from nowhere unaanza kumtolea lugha chafu namna hiyo? Bora huyo mtu awe mwanamke, je kama mwanaume mwenzako?Mhh wewe inaelekea diamond akikwambia umnyonye dudu utakubali, sio shobo hizi, baba yako aliyekuzaa unamshobokeaga namna hii? Ndomo ana mke anaitwa zari ooh shauri zenu nafasi imejaa
Mpwa, nyie wasomi watoto wa Mbezi Beach kumbe mnaamini kwamba uchawi unaweza kumfanya mtu afanikiwe? Sie huku Uswahilini na Uswahili wetu wote hatuwezi kuamini upumbavu kama huo lakini leo nashangaa wale wale watoto wa kishua, waliosomea ng'ambo kumbe ni miogoni mwa watu wanaoamini uchawi unaweza kumsaidia mtu!!!
Halafu Mpwa mbona unapenda sana kashifa za aina hii? Mie siku moja ilibidi nimuombe Mungu tu anilinde ili tusitoleane lugha zisizofaa humu jamvini pale uliponiambia kauli kama hiyo! Hivi humu jamvini kuna wasanii wangapi unawashabikia? Mbona watu hawakuambii kauli za maudhi kama hizo? Nenda kule jukwaa la michezo uone watu wanavyowashabikia akina Ronaldo, Messi n.k... unatak kusema wote wale wanaweza kufi'rwa na hao akina Ronaldo? Yaani mpwa wakati mwingine mtu akikusoma anaamini kabisa kwamba huyu jamaa mjanja lakini comment zako zingine utafikiri umetoka kijijini kwenu leo! Hivi ni ajabu kwenye tasnia ya burudani kuona wanaume wanawashabikia wanaume wenzao? Yaani wewe upo tayari kuona mwanaume anamshabikia mwanaume mwingine yeyote yule lakini akimshabikia Diamond tu, kwako inakuwa nongwa? Hivi alikufanya nini huyu jamaa hadi kila uone anayemshabikia basi anaweza kuwa tayari kufi'rwa na huyo Diamond? Sasa kama mtu mkun'du wa kwake, hata akiwa tayari kufi'rwa wewe inakuuma au inakuhusu nini? Mpwa, mwezi mtukufu huu, hata kama wewe huamini katika hilo, jitahidi kuwa na staa manake hufahamu imani za wengine humu jamvini kwahiyo usije ukawaingiza wenzako majaribuni bila sababu za msingi... heri basi mtu angekuwa amekutukana lakini unaibuka tu from nowhere unaanza kumtolea lugha chafu namna hiyo? Bora huyo mtu awe mwanamke, je kama mwanaume mwenzako?
Anyway, nakuambia haya kwa kuwa nakuona wangu lakini ingekuwa mwingine wala nisingejisumbua! Ukitaka chukua ushauri wangu au acha lakini ufahamu tu kwamba, kutokana na tabia yako ya kupenda kujichanganya humu jamvini, wengine tunakuheshimu ndo maana, ingawaje kwa kawaida huwa sikopeshi mtu akinizingua, mara zote wewe unaponizingua huwa najitahidi kuvumilia... don't take away that respect.
Mondi mwanga sana.
Chekecha imeshachuja hahahah HABARI ya mjini ushirikina wa babu tale kisa tu manager wa dai ...sasa angekuwa manager wa "bushman doppelganger " ungeona defensive mechanism ya ajabu inayotokana na Akili kucheketulia mpaka kuwa mento hahaha
King anasikitisha.
Mondi bin ladeni anatisha.
#nyakatizakuumiawataniwetu .
#ukijamotonakurudishabarida
Usiombe jirani yako akapata pakukusemea. Utakoma
Kwa hiyo dawa za huyo mganga kwa akina madee zinadunda lakini kwa Diamond ndo zinafanya kazi, au?
Cheketua imebuma kwani ile technique ya kuruka ukuta haijafanya kazi?
Mimi nauliza tu yule mruka ukuta sio mchawii?
Na Yule mruka ukuta vipi?