Kumbe ni harusi ya binti na kwa taarifa yako nilifuatilia na kikwete alikuwemo.Humfuatilii Dangote wewe, kuna harusi ya binti yake mmoja ilikuwa kufuru huko kwao Nigeria
Ooh lalaaaaa! kitaalamu inaruhusiwa?Alikuwa
Alikuwa ana sherehesha birthday ya mke mwenzie.🤣🤣
Utajiri raha aise! Kingine ni madaraka ..ila utajiri kwanza maana itakua simpo kuwashika wenye mamlaka....FATAKI apige GSM piga wewe ushangae difenda zimepaki getini zinamtaka muhusika wa sherehe.
Tafuta pesawana ubaguzi sana
HahahaSherehe ni ya familia, Sasa kama familia na ukoo ni wa kiarabu unatarajia weusi watokee wapi?
utopolo bora wewe umeshazipata tumia na michango itaisha sasaTafuta pesa
Astaghfirullahi al aliyyul adhwiim![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] omarius ni shemeji yake. Ila juksiiii ni kitoweo chake, na kiunganishii ni omarious.
Shem akampigia pande shem.
Ndio maana hutoboi🤣🤣Hawo viumbe hata nikiwaona tu nakuwa na hasira!!
Yule aliyeolewa na rubani auHumfuatilii Dangote wewe, kuna harusi ya binti yake mmoja ilikuwa kufuru huko kwao Nigeria
Lord of skies 😀😀El Señor de Los Cielos
Ndomana wachezaji wa yanga mishahara midogo tofauti na Simba, Simba wanakula Bata wanaenda kambi nje, yanga singida Mara Moro.Hela za Yanga hizo
kwa sababu siwezi kuthulumu haki za wengine!Ndio maana hutoboi🤣🤣
Kakudhulumu nini? Unafhani biashara hiyo familia wameanza jana au leo? Wakati wazazi wake wanauza Vitambaa na Carpets kariakoo enzi hizo wewe familia na familia yako mlikuwa mnafanya nini? Utajiri sio jambo la ghafla kama mnavyodanganyana alafu pia matajiri sio lazima wawe walewale mnaowafahamu nyinyi na mnaowataka nyinyi. Tatizo watu hamuwajui hata chimbuko lao mnaanza kukashifu kwa mambo msiyo na uthibitisho nayo.kwa sababu siwezi kuthulumu haki za wengine!
Hawa hawana habari na wanawake wa mjiji zaidi ya kuwafukua mtr tuSijui itasaidia jamaa asichepuke na wanawake wa mjini?
Wanawake wa mjini inabidi waache kujigonga kwake sasa maana ameweka wazi kuwa ako na wake.
Na wewe shuguli yako waalike unaowajua hao mablackWalishindwa hata kualika majirani zao blacks? Kweli wana ubaguzi na roho mbaya sana
mbona povu linakutoka utopolo,Kakudhulumu nini? Unafhani biashara hiyo familia wameanza jana au leo? Wakati wazazi wake wanauza Vitambaa na Carpets kariakoo enzi hizo wewe familia na familia yako mlikuwa mnafanya nini? Utajiri sio jambo la ghafla kama mnavyodanganyana alafu pia matajiri sio lazima wawe walewale mnaowafahamu nyinyi na mnaowataka nyinyi. Tatizo watu hamuwajui hata chimbuko lao mnaanza kukashifu kwa mambo msiyo na uthibitisho nayo.
Ukiwa na roho mbaya huna akili na maskini basi kila mwenye mafanikio na aliyekuzidi utamuona mwizi tu. Get the strap!
Hana makuu alafu birthday ya hivyo we fala nn?sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga
Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.
Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili
zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce & Gabbana, Gucci.
Upande wa burudani zilipigwa fataki, wasanii Jux na Ommy walitoa burudani.
View attachment 2728125
View attachment 2728117
View attachment 2728122
View attachment 2728123