Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Humfuatilii Dangote wewe, kuna harusi ya binti yake mmoja ilikuwa kufuru huko kwao Nigeria
Kumbe ni harusi ya binti na kwa taarifa yako nilifuatilia na kikwete alikuwemo.

hao ni watoto wanafanya showoff, yeye dangote sio mtu wa showoff media za naija wanadiscuss kuhusu kuwa sio mtu wa spotlight.

Kuna kina mompha, hush yule aliyedabwa kashamla dada ako misa, kina cubana, kina shanapella, n.k wote hao watu wa showoff even femi otedola ni wa showoff pamoja na mwanaye cuppy music....
Nipo karibu na wanaija na nawajua vizuri since when.
 
kwa sababu siwezi kuthulumu haki za wengine!
Kakudhulumu nini? Unafhani biashara hiyo familia wameanza jana au leo? Wakati wazazi wake wanauza Vitambaa na Carpets kariakoo enzi hizo wewe familia na familia yako mlikuwa mnafanya nini? Utajiri sio jambo la ghafla kama mnavyodanganyana alafu pia matajiri sio lazima wawe walewale mnaowafahamu nyinyi na mnaowataka nyinyi. Tatizo watu hamuwajui hata chimbuko lao mnaanza kukashifu kwa mambo msiyo na uthibitisho nayo.
Ukiwa na roho mbaya huna akili na maskini basi kila mwenye mafanikio na aliyekuzidi utamuona mwizi tu. Get the strap!
 
mbona povu linakutoka utopolo,
bora uhamie simba akili itakukaa sawa
 
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga

Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu.

Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili

zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce & Gabbana, Gucci.

Upande wa burudani zilipigwa fataki, wasanii Jux na Ommy walitoa burudani.

View attachment 2728125

View attachment 2728117

View attachment 2728122

View attachment 2728123
Hana makuu alafu birthday ya hivyo we fala nn?
 
Back
Top Bottom