Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

Yani waoane wenyewe, wapendane na washirikiane afu wewe uchukie?

Nyie mmekatazwa kuoana wenyewe kwa wenyewe na kushirikiana? Umewahi kusikia wao wakilalamika hamjawaalika au mmewagomea kuoa ndugu zenu? Charity begins at home kitu ambacho wamatumbi hamkijui hadi leo. Nyie endeleeni kuamini ndugu zenu ndo wabaya wenu muone kama mtafika popote.
wee ni pimbi wala sina muda mchafu wa uchawa wa kijinga
 
sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga

Birthday party ilimhusu mke wake pamoja na wanafamilia / ndugu wa karibu.

Maua ya kutosha, itakuwa yaliletwa na kontena mbili

zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce & Gabbana, Gucci, hakuna feki feki.

Fataki zimepigwa

Wasanii Jux na Ommy walitoa burudani.

View attachment 2728125

View attachment 2728117

View attachment 2728122

View attachment 2728123
Wakasahau vazi pendwa la kanzu
 
Jamaa mmoja apo juu anasema "Hawa viumbe(waarabu) akiwaona tu anapata hasira" mwingine kasema "Sherehe nzima amna mweusi zaidi ya ommy na Juksi"

Ngozi nyeusi tunashida sana,Tunataka kuonewa huruma muda wote tuu uko ulaya mchezaji mweusi akifanya kosa akaadhibiwa tunasema "Ubaguzi" kitu kidogo tu tunaliaa sasa mtu wa Oman uko GSM ata kishwaili ajui vizuri unataka sherehe ijae kina Mushi na Sele wa Bonyokwa kimara juu mabonde kuinama

BTW apo weusi ndo wamekula pesa kuanzia hao wasanii,Camera man zaidi ya 7,Mapambo wamepamba weusi wenzetu,Vinywaji na msosi vimeandaliwa na weusi ila uwezi kusikia wanalalamika coz wanazingatia maokoto na sio kutafta kuonewa huruma
 
Yani waoane wenyewe, wapendane na washirikiane afu wewe uchukie?

Nyie mmekatazwa kuoana wenyewe kwa wenyewe na kushirikiana? Umewahi kusikia wao wakilalamika hamjawaalika au mmewagomea kuoa ndugu zenu? Charity begins at home kitu ambacho wamatumbi hamkijui hadi leo. Nyie endeleeni kuamini ndugu zenu ndo wabaya wenu muone kama mtafika popote.
Thread closed
 
Back
Top Bottom